samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
sidhani kama tunaweza kupima uwezo wake kwa yeye kushinda site kila kukicha...Waziri naamini ndio think tank ya wizara, sasa kuhangaika mapolini huko utafikiri wizara haina watendaje wengine na yeye abaki kutengeneza mipango mikubwa na imara then aitupe huko na kuhakikisha utekelezaji...
Akili ni kutengeneza system strong kama waziri itakayotumikia wananchi usiku na mchana, jua na mvua na wewe waziri kukaa chini na planning team yako kutengeneza mipango endelevu na kutafuta fedha za kuikamilisha...huu unyapara sio level ya uwaziri wapo watu huko ndio kazi yao wewe kuhakikisha unaweka watu sahihi...