matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Akiacha ligi ni mtu mwema tu.kwa ni afya wao vipi bila matukio na chanjo na kadhalika hawawezi kusikika?
Siku zote tangu yuko naibu maisha yake ni site sio maneno.Waziri mwizi kama nini! Alipiga madili akiwa naibu waziri, sasa anajifanya mchapakazi sana! Tunazo taarifa za kudakishwa pesa na marafiki zake ndani ya wizara hadi sasa.
true yule dogo anapiga kazi bana acheni utani sasa utamfananisha na lile minyama ya uzembe sijui naibu la ujenzi ,kwanza hata kutembea haliwezi,jamaa utakuta mara yuko visimani mara anahangaika na mabomba sijui nini, hata naibu wake anapiga kazi tuache utani sema tatizo tu wenye chama chao wakiona mtu ana shine wanaanzaga nongwa kama hizi zako za kula rushwaSiku zote tangu yuko naibu maisha yake ni site sio maneno.
Kuhusu tuhuma please kwa wahusika kamakweli. Ila binafsi natambua juhudi zake, maana kila kiongozi huwa anatuhuma sasa Hata kama unatuhuma isikuzuie kutenda.
Kijana yuko vizuri. Na panga siku moja nikampongeze ofisini Kwake.true yule dogo anapiga kazi bana acheni utani sasa utamfananisha na lile minyama ya uzembe sijui naibu la ujenzi ,kwanza hata kutembea haliwezi,jamaa utakuta mara yuko visimani mara anahangaika na mabomba sijui nini, hata naibu wake anapiga kazi tuache utani sema tatizo tu wenye chama chao wakiona mtu ana shine wanaanzaga nongwa kama hizi zako za kula rushwa
Ana ligi na nani?Akiacha ligi ni mtu mwema tu.
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Majukumu yake ni makubwa na yanamtaka ahangaike nchi nzima.Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Labda mpaka tujifunze kuwa maji ya visima ni kubahatisha.Utakuta miradi inakuwa kuchimba visima 100 na vyote vinachimbwa na vya kutoa maji labada 30. Kwa mfano mkoa wa lindi hizo fedha za visima vya kubahatisha kila mwaka wachimbe mtaro au bomba toka mto rufiji. KILA MWAKA WATAONGEZA UREFU MPAKA WAFIKE MTWARA kwa hizo bajeti ya visma. Ushauri kama wa kutoa victoria kwenda tabora. Haya ya visima tutagombana na wahandisi bure wakati ukipima maji yakiwa ni hewa au machache huwezi kujua mpaka uchimbeWakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.