Ku post ktk Social media haimaanishi uchapakaziWakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
😍Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Lazima ahangaike kwasababu anadhani kuzurura na kutoa matamko ndio Uongozi.Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Hakika👍Nakubali. Huyu waziri wa maji sasa hivi anajitahidi sana. Laiti bajeti yake ingekua kubwa angeweza kufanya makubwa zaidi.
Wamekutana wote Akili hakunaSio yeye pekee hata naibu wake Yuko site mida mingi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...JPM Aliona mbali kumuweka huyu baba kwenye hii wizara.tumeona kazi za ruwasa wilayani huko na pia department ya water resources inafanya vzr Sana mkurugenzi wake Ni mtu mfuatiliaji sana...taasisi ya DDCA kuhamishiwa ruwasa nayo imezaa matunda Sana tulio site tunaona kwa kweli jinsi kazi zinavyochapwa...pongezi kwao maboss wangu hao bila kusahau katib mkuu na watumishi wote wa wizara ya maji
Kama maendeleo yanapatikana kwa kuranda randa, basi tungekuwa tushaendelea zamani. Toka nipate fahamu nasikia viongozi wakipiga misere, tuache mawazo ya aina hii.Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Halafu wizara yake inatesa wakandarasi kuwalipa hela zao in short hii wizara inahitaji mabadilikko kuliko ya Sasa yako very slowWaziri mwizi kama nini! Alipiga madili akiwa naibu waziri, sasa anajifanya mchapakazi sana! Tunazo taarifa za kudakishwa pesa na marafiki zake ndani ya wizara hadi sasa.
Wizara inahitaji mabadilikko mengi ikiwemo sera Ili kuharakisha uwepo wa maji vijini Sasa hivi Kuna urasimu mkubwa kuanzia wizarani Hadi wilayani, yeye kushinda site na mabomba bila kubadili sera na utendaji itakuwa kazi bureYeah ni kweli anahangaika sana badala ya kutumia muda mwingi kurekebisha sera za maji zilizopitwa na wakati.
Na mimi nasema hivi ahangaike tu kwa kuwa haina namna
SureKu post ktk Social media haimaanishi uchapakazi
Brilliant ideaKama waziri ukishaweka strong team kazi yako ni kupima matokeo kila robo mwaka ambaye hakaachieve utafukuza au unademote, kutengeneza trainees programs kwenye wizara yako kwa kuingiza gradutes kutrain na kuwapachika, kama haitoshi kufungua internship programes kwenye wizara yako vijana wapya bright waje muwajue waajiriwe walete matokeo, huko wilayani, mikoani, vijijini ni ziara tu za kustukiza kupima utendaji na kuangalia deadlines zako za managers nk, ukiona failures ni mwendo wa demotion vijana wengine wapate nafasi......Hizi kelelekelele kila kukicha ni kujificha tu...
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Chanzo cha maoni yako ni nini.Kama waziri ukishaweka strong team kazi yako ni kupima matokeo kila robo mwaka ambaye hakaachieve utafukuza au unademote, kutengeneza trainees programs kwenye wizara yako kwa kuingiza gradutes kutrain na kuwapachika, kama haitoshi kufungua internship programes kwenye wizara yako vijana wapya bright waje muwajue waajiriwe walete matokeo, huko wilayani, mikoani, vijijini ni ziara tu za kustukiza kupima utendaji na kuangalia deadlines zako za managers nk, ukiona failures ni mwendo wa demotion vijana wengine wapate nafasi......Hizi kelelekelele kila kukicha ni kujificha tu...
Upo.sahihi.Watu wenye uwezo mdogo ndiyo watamuona anafanya kazi.Aweso ni mzurulaji tu na mtafuta posho za kila siku.Wizara inahitaji mabadilikko mengi ikiwemo sera Ili kuharakisha uwepo wa maji vijini Sasa hivi Kuna urasimu mkubwa kuanzia wizarani Hadi wilayani, yeye kushinda site na mabomba bila kubadili sera na utendaji itakuwa kazi bure