Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Iliniuma sana maana huwezi kuamini kisa cha kuondolewa! Na mshikaji wangu mzee wa chanjo kule Kigamboni naye akatumbuliwa.Hata Kalemani alikuwa Mpambanaji lakini Wenye nchi yao wala hawakujali,
Ila anasifia sana had I........Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
So whatWaziri mwizi kama nini! Alipiga madili akiwa naibu waziri, sasa anajifanya mchapakazi sana! Tunazo taarifa za kudakishwa pesa na marafiki zake ndani ya wizara hadi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]unazinduaje mradi hewa bila kuweka mashushu wakupe data za uhakikaKuna mtu aliniambia hayati Ben Mkapa aliwahi kuzindua mradi wa maji kumbe walikuwa wamemtegeshea vimaji kwenye katank huku yeye anaamini anazindua mradi wa maji ya bomba endelevu.
Ukijulikana ni mtu wa ofisini tu na kupokea taarifa watu wanazojua ndio unazitaka sio unazopaswa. Kwa mtazamo wangu system ya utendaji nchini inahitaji utwange kotekote.
Angekuwa waziri wa maji wa Singapore au Taiwan ningekukubalia kabisa mkuu.
Tumpongeze Kijana anafanya vyema.
Raia ndio anasema, labda huwa ni michongo ya wanasiasa ili kuwahadaa wakuu. Niliona dogo aligombea udiwani akaletwa kwa PM eti amegombea ubunge upinzani na sasa karudi CCM hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]unazinduaje mradi hewa bila kuweka mashushu wakupe data za uhakika
We dada hunaga jema....umejaa lawama na manung'uniko...khaaaWizara inahitaji mabadilikko mengi ikiwemo sera Ili kuharakisha uwepo wa maji vijini Sasa hivi Kuna urasimu mkubwa kuanzia wizarani Hadi wilayani, yeye kushinda site na mabomba bila kubadili sera na utendaji itakuwa kazi bure
Inahusiana vipi na maji?Pangani oyee.....
Sasa hivi inajengwa barabara ya kiwango Cha four lanes kutoka TANGA city kwenda Pangani kupitia Kirare. Lkn pia itajengwa nyingine toka Pangani Hadi Bagamoyo kupitia Mwera, Mkwaja.
Tutakua tunakunywa chai TANGA, lunch Dar na kuwahi kurudi kula dinner TANGA.
Sidhani kama watakuelewa ila mpaka waziri kwenda site ina maana kuna shida mahali.sidhani kama tunaweza kupima uwezo wake kwa yeye kushinda site kila kukicha...Waziri naamini ndio think tank ya wizara, sasa kuhangaika mapolini huko utafikiri wizara haina watendaje wengine na yeye abaki kutengeneza mipango mikubwa na imara then aitupe huko na kuhakikisha utekelezaji...
Akili ni kutengeneza system strong kama waziri itakayotumikia wananchi usiku na mchana, jua na mvua na wewe waziri kukaa chini na planning team yako kutengeneza mipango endelevu na kutafuta fedha za kuikamilisha...huu unyapara sio level ya uwaziri wapo watu huko ndio kazi yao wewe kuhakikisha unaweka watu sahihi...
Sidhani kama watakuelewa ila mpaka waziri kwenda site ina maana kuna shida mahali.
Sidhani kama watakuelewa ila mpaka waziri kwenda site ina maana kuna shida mahali.
You know not.Kuna mtu aliniambia hayati Ben Mkapa aliwahi kuzindua mradi wa maji kumbe walikuwa wamemtegeshea vimaji kwenye katank huku yeye anaamini anazindua mradi wa maji ya bomba endelevu.
Ukijulikana ni mtu wa ofisini tu na kupokea taarifa watu wanazojua ndio unazitaka sio unazopaswa. Kwa mtazamo wangu system ya utendaji nchini inahitaji utwange kotekote.
Angekuwa waziri wa maji wa Singapore au Taiwan ningekukubalia kabisa mkuu.
Tumpongeze Kijana anafanya vyema.
Mwenzake Lowasa alitoa maji ziwa victoria hadi Shinyanga,yeye kafanya nini hadi sasa?Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Alimwambia Nani?Haliwezekani hili,pana mbuga pale ya saadani.
Huyu waziri tumemlelea hapa Pangani na mengi anayoyafanya tunamtumaInahusiana vipi na maji?
Nyie wahuni hamna jema.wizara ya maji ndiyo yenye majizi kuliko wizara zote tz ukikaa ofisini taarifa zote ni nzuri lkn hakuna kazi.Wizara ya Maji haiwezi kuendelea kwa viongozi kama Aweso.Wizara haina sera na ina sheria za maji za hovyo sana hasa za maji vijijini.
Serikali inatekeleza miradi ya maji vijijini kwa gharama kubwa sana ila sio endelevu na haitakuwa endelevu chini ya waiziri muangaikaji kama Aweso.
Haiwezekani serikali ijenge miradi ya mabilioni ikamilike halafu mwishoni umkabidhi mwananchi wa darasa la saba kuiendesha mwishowe wananchi waliopewa kuiendesha wanakula tu ela kifaa kikiharibika wanashindwa kutengeneza.
Aweso ni waziri kijana wa hovyo sana ambaye hana maono ya kiuongozi.Anazurula wilayani kutafuta posho tu.