Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Wakuu Kuna manzi nataka mfungulia biznenga,Ili akila mtaji nipate sababu ya kupiga chini.
Anasema anataka kuuza vitu vinavyopendwa na wanawake na watoto.
Ushauri wenu juu ya nn auze,unaweza okoa jahazi
Natanguliza Heri ya mwaka mpya Kwa wote
Mkuu toa Ushauri kupigwa na kitu kizito nishajiandaaMalaya/Hawala/Msimbe hafunguliwi biznenga!
Kwanini utafute sababu..!!?? Kufikia hatua ya kutaka kumuacha maana yake unayo sababu tayari, hence tumia sababu hiyo hiyo kumuacha. KWA MFANO UMEMFUNGULIA BIZNENGA YAKE KWA MATEMEGEMEO KWAMBA ATAFELI NDO UTAJIPATIA SABABU, UMEJIANDAAJE AKIPIGA BAO KWENYE BIZNENGA HIYO?? Bado utampiga chini?Mkuu toa Ushauri kupigwa na kitu kizito nishajiandaa
We leta Mawazo mambo ya kumpiga chini blah blah tutajua badaeKwanini utafute sababu..!!?? Kufikia hatua ya kutaka kumuacha maana yake unayo sababu tayari, hence tumia sababu hiyo hiyo kumuacha. KWA MFANO UMEMFUNGULIA BIZNENGA YAKE KWA MATEMEGEMEO KWAMBA ATAFELI NDO UTAJIPATIA SABABU, UMEJIANDAAJE AKIPIGA BAO KWENYE BIZNENGA HIYO?? Bado utampiga chini?
Wazo nililokupa ni kutumia hiyo sababu inakufanya ufikirie kumpiga chini kabla hata hujamfungulia hiyo biznenga yako...!! Ukiona unatafuta sababu nyingine basi hiyo ya sasa haina mashiko..!!We leta Mawazo mambo ya kumpiga chini blah blah tutajua badae
Nguo zawatoto
Urembo (hereni cheni
Bidhaa za nywele mafuta dawa Rasta na zingine
Hapana Mkuu ntakufa siku si zanguMfungulie biznenga ya glossary , then uwe unaenda apo kila jioni kupata moja baridi moja moto.