Hivi niliwahi kuleta uzi wa Wakristu kuwafunga Waislamu?Baada ya ule uzi wako wa Wakristu kuwafunga Waislam, huu ni uzi mwingine unaotupa mashaka na uelewa wako. Umekuja na hoja ila huna ushahidi ni umbea usiokuwa na tija. Ungeweka ushahidi ni mwaka upi huyu mtu alizaliwa, au ni matukio gani ambayo yanabainisha kuwa ana umri tofauti na ule unaotajwa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Aahaaaa,ebu niwekeee link mkuuNimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.
Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.
1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.
2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).
NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.
TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
mzize ameumbuliwa na mtoto wake aliyekuwa darasa la nne na siku wakimchezesha timu ya vijana Tanzania tutaenda kufungiwa.Katika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.
Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.
Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
Kumbe ni "pafomwensi"!?Alaa..wakora sana!Kikubwa performance inaonekana
Hivi hii ishu ya mtoto wa darasa la nne ni kweli?mzize ameumbuliwa na mtoto wake aliyekuwa darasa la nne na siku wakimchezesha timu ya vijana Tanzania tutaenda kufungiwa.
Ila umri wa bocco hauna shaka naoKatika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.
Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.
Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
nahisi ni kweli maana haijakanushwaHivi hii ishu ya mtoto wa darasa la nne ni kweli?
Ni report ya awali hiyo, uchunguzi bado unaendelea...kuwa mvumilivu please.Unaongea bila facts,halafu mkikosolewa mnasema watu tunachuki na nyie!
Pathetic
Bocco ni mkubwa ana miaka 34 na hiyo inaendana kabisa na muonekano hata sura yake.Ila umri wa bocco hauna shaka nao
Mkuu swala la umri lipo sana Africa na ni shida sana, hata Partey wa Arsenal yule mwamba lazima karudisha mshale nyuma kidogoKatika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.
Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.
Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
Bila kumsahau chipukizi Vicent Abubakar wa Cameroon.Mkuu swala la umri lipo sana Africa na ni shida sana, hata Partey wa Arsenal yule mwamba lazima karudisha mshale nyuma kidogo
We jamaa unastahili tuzo ya heshima [emoji1787]Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.
Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.
1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.
2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).
NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.
TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Joash Onyango role model wa Meddie KagereBila kumsahau chipukizi Vicent Abubakar wa Cameroon.
Siku zinavyozidi unazidi kuwa mjinga tu, unaandika vitu bila fact wala evidence.Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.
Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.
Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.
Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo bado Hujagusa kwa Under Twenti Mzize, Hii Ligi inachezewa Sana aisee,... Kuna Wachezaji humo kweny Vilabu vyao Ni wakubwa Kuliko hata Makocha Wao.
Aisee makolo mna shida sana[emoji3][emoji3]Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.