Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

Baada ya ule uzi wako wa Wakristu kuwafunga Waislam, huu ni uzi mwingine unaotupa mashaka na uelewa wako. Umekuja na hoja ila huna ushahidi ni umbea usiokuwa na tija. Ungeweka ushahidi ni mwaka upi huyu mtu alizaliwa, au ni matukio gani ambayo yanabainisha kuwa ana umri tofauti na ule unaotajwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hivi niliwahi kuleta uzi wa Wakristu kuwafunga Waislamu?
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Aahaaaa,ebu niwekeee link mkuu
 
Katika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.

Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.

Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
mzize ameumbuliwa na mtoto wake aliyekuwa darasa la nne na siku wakimchezesha timu ya vijana Tanzania tutaenda kufungiwa.
 
CAPO njoo na msg yako kuna Mbwiga wa Mbwiguke huku.
 
Katika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.

Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.

Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
Ila umri wa bocco hauna shaka nao
 
Ila umri wa bocco hauna shaka nao
Bocco ni mkubwa ana miaka 34 na hiyo inaendana kabisa na muonekano hata sura yake.

Hata kama ame cheat ila sio kwa gape kubwa pengine mwaka mmoja au miwili tu.

Ila Mzize ndio ametufanya sisi wajinga
 
Katika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.

Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.

Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
Mkuu swala la umri lipo sana Africa na ni shida sana, hata Partey wa Arsenal yule mwamba lazima karudisha mshale nyuma kidogo
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
We jamaa unastahili tuzo ya heshima [emoji1787]
 
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.

Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.

Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.

Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.
Siku zinavyozidi unazidi kuwa mjinga tu, unaandika vitu bila fact wala evidence.

Kujuwa umri wa mtu jitahidi uwe na fact zisizo na shaka yoyote, mfano mama yake Denis Nkane ni class mate na Mdogo wangu wa mwisho kabisa kuzaliwa.

Kwahiyo nilitaka kukisia umri Denis ni mtoto maana mama yake atakuwa na umri usiozidi miaka 35.

Le Mutuz tulikuwa na fact naye ni mtu mzima kwa sababu amesoma na Mizengo Pinda.

Lady Jaydee pia tunajuwa ni mtu mzima mwenzetu tunawajuwa masister duu wa Zamani, Jangwani, Zanaki na Kisutu miaka ya 90's yani lazima awe late 40's au early 50's
 
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.

Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.

Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.

Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.
Aisee makolo mna shida sana[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom