Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Mkuu kwani tunda nae anatumia sembe?Au umemaanisha nn
Mpe hii Niffa
 
Yes maana kuna siku alikuwa anahojiwa sehemu flani ilifika sehemu akaanza kulia juu ya Dee so nafikiri tunafichwa mengi
Mke wake pia, anamuhudumia karibu kila kitu, then Dee anaenda kugawa kwingine
 
Huu uhusiano wa max na young D ni wa mashaka sana, mwanaume kulia kisa mwanaume mwenzio, afu huyu dogo anakula kulala hadi kuvaa kwa gharama ya max, hawa wa kutupia jicho la karibu
Max alikua anakaa na Dee mbezi beach nyuma ya shamo tower, nasikoa alilua anaingiza wanawake na wanaume nyumban kwa Max, na alikua amamuibia pesa sana, pia walijua wana mahusiano ya kimapenzi
 
Sijajua tatizo nini chidi Benz Karudia young dee karudia au matamu natamani niyaonje
 
Bora afukuzwe, Dee alikua anajiona beiber sana Kule mbezi, tulikua hatupumui na magar yake ya kuazima
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ukianza kutumia ubuyu, ni vigumu kubaki salama hata ufurukute vipi.
KIFO , JELA AU TASISI.

Refer.
Langa Kilewo

Albert Mangwea

Ibra Da Hustler

Chid Benz

Ray C
....
....
 
Nasikia na ule mchezo ambao mkuu wa mkoa kakataza anashiriki pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…