Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Sijasikia vizuri................

Dogo karudia tena ngada? ausijaelewa point muhimu hapo..?
Alokwambia unga unaachwa kabisa nani?
Mtumia UNGA hupumzika tu na si kuacha,ile ni sumu iliyopo kwenye damu imeshaenea.
Hao wanaosemaga wanaacha hao wanazuga tu,haya ray C alisema ameacha ila hali ya unga imemuumbua
 
Young dee weka vyomboo babaa ongeza speed umpate brother ako chid af mkapge show wote
Hahahah zile tattoos zitafubaa aisee.

Naona anamiliki tattoos
 
Alokwambia unga unaachwa kabisa nani?
Mtumia UNGA hupumzika tu na si kuacha,ile ni sumu iliyopo kwenye damu imeshaenea.
Hao wanaosemaga wanaacha hao wanazuga tu,haya ray C alisema ameacha ila hali ya unga imemuumbua
Kazi kweli kweli. Huwa wanasema tu. Ile kitu sio mchezo mchezo
 
Nimepoteza ndugu zaid ya mmoja, na wawili wamekua walemavu kabisa kisa hayo madude yao ya kunusanusa.
Vijana wenye nguvu
Pole sana. Kingine huwa hatujifunzi kupitia wengine. Maana sio kila kitu cha kujaribu.
 
Back
Top Bottom