Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Tuache kumwondoa faru kwenye post aliyopo tuhangaike na wahun
 
Addiction ni balaa aisee.
Acha tu,na huko kuimanage addiction si jambo dogo ,linachangamoto sana.We fikiria pombe tu kuacha inakua ni inshu,unakuta mtu anajizuia mpaka miaka 12 lakini mwsho wa siku anadondoka tena(relapse).sembuse madawa wanayokaa sober house kwa miezi 6 tu. Au wengine siku 28 (chidi benz) -anaachaje sasa kwa mf.
 
Acha tu,na huko kuimanage addiction si jambo dogo ,linachangamoto sana.We fikiria pombe tu kuacha inakua ni inshu,unakuta mtu anajizuia mpaka miaka 12 lakini mwsho wa siku anadondoka tena(relapse).sembuse madawa wanayokaa sober house kwa miezi 6 tu. Au wengine siku 28 (chidi benz) -anaachaje sasa kwa mf.
Hii ishu ina ugumu sana. Mpaka ifike hatua mtu ameacha kabisa.
Sio mchezo. Maana mwili unamsukuma kurudia kutumia tena.

Ni changamoto kubwa sana
 
Duniaa haina siri ipo cku kilaa kitu kitaka hadharan maana c kawaidaa aiseee kumliliaa mwanaume mwenzio..dem akiniacha hata simkumbuki walaa nn ss huyu max anamliliaa dee kaaaaaaaaaaaaaa
 
MTU mzima ni wa kumshauli Mara moja tu kisha unaachana nae ili asikupotezee time ya kufanya yako
 
Hayo mashaka tu,
Ila nadhani jamaa atakuwa Ali wekeza sana kwa Dogo akitarajia badae atamlipa.
Halafu gafla a naona mauza uza. Siamini kama kuna kingine
Amewekeza kwenye nini mkuu kuwa wazi?!

Maana Young D bado anafanya video za buku jero kwa kina Hanscana na wale wanaopeleka wasanii wao kwa kina Justin Compos na Goodfather waseme nini?

Na kama amewekeza toka miaka hiyo na biashara hailipi kwanini bado anamng'ang'ania mpaka kumlilia mbele za watu?!

we unaweza kutoa machozi hadharani kwa ajili ya mwanaume mwenzio?!
 
Kwa maelezo ya mtangazaji wa EATV (Sam Misago) wakati anaongea na Max ni kwamba, Kwa sasa Young D inasemekana kuwa ameingia kwenye mambo ya Kishoga ukiachilia mbali hilo la kutumia madawa ya Kulevya ambalo lilikuwa linafahamika kwa muda mrefu.

Max alishindwa kukubali au kukanusha hayo, japokuwa hakuonekana kabisa kushangaa, na aliishia kusema, amekuwa akiyasika hayo mara nyingi sana yakimuhusu Young D, na mwisho alimalizia kusema, muda sio mrefu kila kilicho cha siri kuhusu Young D kitaonekana hadharani, maana yule(Max) wa kumtunza, kumuonya na kumsitiri Young D hayupo tena.
 
Max hamlilii d Bali anamsikitikia mpaka Ana toa chozi no thing else
Nimesikitika kuona huyu huyu max leo hii anapata kashfa kisa dee,.....na sitoshangaa akirudia tena kumsaidia. Max anamchukulia dee zaidi ya msanii, anamchukulia kama mdogo wake kabisa ndiyo maana anaumia sana kumuona dee vile
 
Back
Top Bottom