Kama hujui vitu uliza, Zipo ngoma kibao Young Dee amefanya na Lamar, na zipo hewani, na mwisho juzi tu hapa amemtaja lamar kwa kumshukuru kwenye wimbo wa Hands Up, alafu unaposema MDB ina msanii mmoja unanishangaza na kunifanya nijue fika wewe ni mtupu, MDB inamiliki wasanii wengi tu tatizo wewe sio mfuatiliaji,
na wasanii wachache kati ya hao ni Rasheed, Boniface, The Voice na Jamaa wa Hip Hop anaitwa Petey Wonder,
na hao wote wametoa nyimbo kibao tu zilizo hit, kama UNTIL FOREVER ENDS, LISA LOVER, MY DESTINY, RUDI n.k.
Kwahiyo usipende kuongea vitu usivyovijua, ni vema ukafanya utafiti kwanza,
na kama una kingine ruksa kuuliza