Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Max Rioba adai ameshindwa kufanya kazi na Young Dee Kwa kuwa hana Nidhamu

Nimesikitika kuona huyu huyu max leo hii anapata kashfa kisa dee,.....na sitoshangaa akirudia tena kumsaidia. Max anamchukulia dee zaidi ya msanii, anamchukulia kama mdogo wake kabisa ndiyo maana anaumia sana kumuona dee vile
Vipi kuhusu kuhusu tuhuma za kuliwa tigo
Amewekeza kwenye nini mkuu kuwa wazi?!

Maana Young D bado anafanya video za buku jero kwa kina Hanscana na wale wanaopeleka wasanii wao kwa kina Justin Compos na Goodfather waseme nini?

Na kama amewekeza toka miaka hiyo na biashara hailipi kwanini bado anamng'ang'ania mpaka kumlilia mbele za watu?!

we unaweza kutoa machozi hadharani kwa ajili ya mwanaume mwenzio?!
 
Kwa maelezo ya mtangazaji wa EATV (Sam Misago) wakati anaongea na Max ni kwamba, Kwa sasa Young D inasemekana kuwa ameingia kwenye mambo ya Kishoga ukiachilia mbali hilo la kutumia madawa ya Kulevya ambalo lilikuwa linafahamika kwa muda mrefu.

Max alishindwa kukubali au kukanusha hayo, japokuwa hakuonekana kabisa kushangaa, na aliishia kusema, amekuwa akiyasika hayo mara nyingi sana yakimuhusu Young D, na mwisho alimalizia kusema, muda sio mrefu kila kilicho cha siri kuhusu Young D kitaonekana hadharani, maana yule(Max) wa kumtunza, kumuonya na kumsitiri Young D hayupo tena.
Hilo la kupumiliana ndio mada kuu.Ila nani anampumulia mwenzie ndio bado lipo kwenye mabano.

Ila kwa tabia za Max label yake kuwa na msanii mmoja miaka na miaka na kumlilia Young D live studio na kumuonea wivu Young D akiwa na Tunda ukichanga akili zako utaelewa hapo nani anampumulia mwenzie
 
Nimeshangazwa sana mkuu hata mie.

Lazima kuwe na kitu nyuma ya speaker. Jamaa kwenye interview anasema kuna vitu amewahi kumpa young d ambavyo hajawahi kumpa hata ndugu yake kuonyesha jinsi gani anampenda.

Me najiuliza ni vitu gani hvyo ambavyo mtu anayependwa hupewa ambavyo hata ndugu hawezi pewa[emoji23][emoji23]

Kuna mahali max anasema eti young dee aliniomba nije kulala kitandani kwako!!!.. yaani ameomba kulala kwenye kitanda cha max...kweli hapo shida ipo kwa kweli...kwanza utasemaje maneno kama hayo kwenye interview!!!..
 
Hilo la kupumiliana ndio mada kuu.Ila nani anampumulia mwenzie ndio bado lipo kwenye mabano.

Ila kwa tabia za Max label yake kuwa na msanii mmoja miaka na miaka na kumlilia Young D live studio na kumuonea wivu Young D akiwa na Tunda ukichanga akili zako utaelewa hapo nani anampumulia mwenzie
Wewe kweli mzaramo.
 
kiatu kipya! asa apo akuweke wazi kitu gan sasa au haujaisoma vzr post yake? amekwambia dogo hana nidham na pia kuna habar amezipata kuwa amerudia kuvuta madawa na hata mitandaon ameona taarifa za dogo kurudia kuvuta madawa! sasa apo kitu gan jaman hakieleweki? kama hamjaelewa tena bas somen vzr post yake mtamuelewa
 
Huyu Max nimemdharau sana kwa anayoyafanya dhidi ya huyu mtoto.kaka utakuwa unapita humu hebu acha kuharibu maisha ya huyu mtoto vile amekataa kuwa chini yako,juzi umejitengenezea chat yako eti nawe una mashabiki lukuki huoni aibu jitazane upya kwenye kioo
 
Young Dee amerudia tena madawa hilo liko wazi.. Huyu dogo nilimfahamu vizuri sana kipindi yuko close na Chibu alikuwa anakuja sana sinza wcb..

And asipoangalia atafuata nyazo za chidi! Maana young dee msaada wake mkubwa hapa town ni Max.. Sasa stress za kukosa hela ma show za uhakia zinaweza kumfanya akaongeza matumizi ya madawa kupitiliza!
Ndicho kilichomponza Chidi pia.. Chidi alikuwa anatumia madawa kitambo tu, ile cocaine ya kusniff.. But alipoingia kwenye migogoro na media na umaarufu wake kuporomoka zile stress zilimfanya aongeze matumizi na tunaona matokeo yake..

Alafu hamjui kinacho mfanya max alie.! Ishu nzima iko hapa; Young Dee + tunda - max... Hapa ndipo kwenye kokoro!! Ila huyu tunda, she is a very bad influence.. Ukimuona mshakaji wako ana hangout na haka kamalay* hujue unampoteza mshkaji wako..
[emoji15] [emoji15] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] ?
 
Back
Top Bottom