Mabalozi wa Ulaya wanajari sana utu..hata Lissu aliokolewa na naibu balozi wa ujerumani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabalozi wa Ulaya wanajari sana utu..hata Lissu aliokolewa na naibu balozi wa ujerumani.
Sio kweli, walipata mashambulizi tena mengi tu mwaka 2020, ila walikuwa wamejipanga kukabiliana nayo, kuna muda walikwenda down ila tatizo likatatuliwa haraka kumbuka ilikuwa ni lazima kutumia VPN.Katika historia ya JF uchaguzi wa 2020 ndio ilikuwa mara ya kwanza kutopata cyber attack na kuweza kurusha matukio yote wazi.
Uchaguzi wa 2010 JF ilikuwa down for a week, 2015 ilikuwa down for a couple of days; na between 2010 and 2015 nadhani
Mungu Wabariki WazunguMabalozi wa Ulaya wanajari sana utu
Well siwezi bishia what was behind the scene na sina sababu ya kukataa unayosema it makes sense given their experience during the election kujiandaa.Sio kweli, walipata mashambulizi tena mengi tu mwaka 2020, ila walikuwa wamejipanga kukabiliana nayo, kuna muda walikwenda down ila tatizo likatatuliwa hataka kumbuka ilikuwa ni lazima kutumia VPN.
Katika hilo wanastahili pongezi maana walijua kujiandaa vyema ndio maana wengine hamkujua kama walishabuliwa.
Sanaa huo mwaka 2017 ulikuwa mwaka wa shetani kama walivyosema TMK familyMungu Wabariki Wazungu
May be huko nyuma 2015 kulikuwa na mambo ya kesi tu ambayo mtu anaenda na ana haki ya kujitetea mahakamani. Lakini after that Mero anasema kulikuwa hakuna mahakamani tena ni......Well siwezi bishia what was behind the scene na sina sababu ya kukataa unayosema it makes sense given their experience during the election kujiandaa.
Lakini kesi nyingi za Max mzizi wake ni 2015 kurudi nyuma. Kipindi cha Magufuli sidhani kama alipata shtaka jipya na kama yapo ni machache sana.
Awe fair kwa upande wake sio kudandia bandwagon ya kuongeza chumvi ulikuwa utawala mmbovu; wakati amepitia mengi zaidi magumu 2015 kurudi nyuma. Kama nakumbuka vizuri kipindi cha JK mpaka passport yake walishaikamata asisafiri.
Yaani atekwe mbele ya ushahidi wa kimataifa.may be huko nyuma 2015 kulikuwa na mambo ya kesi tu ambayo mtu anaenda na ana haki ya kujitetea mahakamani. Lakini after that Mero anasema kulikuwa hakuna mahakamani tena ni......
Magufuli hakuhitaji kuchafuliwa na mtu. Yule alikuwa bingwa wa kujichafua mwenyewe!Acha uhuni, born town alitengeneza mchongo ili kumchafua Dkt Magufuli.
Ungeanzisha kanisa lake tu utuongoze kuabudu.Yaani atekwe mbele ya ushahidi wa kimataifa.
Muda unavyozidi kwenda inaonekana kulikuwa na magenge mawili ya wasiojulikana.
Baya zaidi ni lile lilikokuwa linatengeneza mazingira ya kuichafua serikali ya Magufuli.
Vinginevyo wangemtaka Max anaetembea bila ya security kuna ugumu gani wa kumkamata mtu wa aina hiyo; hadi wamfuate kumchukua mbele ya balozi atakae iponda serikali.
Kulikuwa na watu wanatengeneza mazingira; labda Magufuli nae ameficha mengi alipokuwa anasema nchi ni ngumu kuendesha kushinda tunavyodhani.
Angalia walivyomfanya bi tozo pambo tu tuseme nchi inakiongozi kila siku wanamrusha nje ya nchi; ata hujui nani anaongoza nchi leo.
Sasa unataka asemaje? kwamba ngoz nyeusi tunapendana sana kkas kwamba huwa hatufanyiami hila?Wakati mwingine kama Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama tuna akili. Eti Mexcence Melo analaumu Watakuwa wenzake walitaka kumkamata "akaokolewa" na Mzungu! Akiitwa nyani na Wazungu analalamika!
Kutoka kwa makucha ya Pombe, au?!Hata Zitto Kabwe aliokolewa na Spika Ndugai
Ardhi ya ubaloz kisheria inakuwa ni office ya nchi fulani.. ndio maana wana bendera za nchi zao na askari wao.. simply ile sehem ya nchi husika japo ni temporary. You just cant walk in na kuchukua watu kirahisi.Yaani atekwe mbele ya ushahidi wa kimataifa.
Muda unavyozidi kwenda inaonekana kulikuwa na magenge mawili ya wasiojulikana.
Baya zaidi ni lile lilikokuwa linatengeneza mazingira ya kuichafua serikali ya Magufuli.
Vinginevyo wangemtaka Max anaetembea bila ya security kuna ugumu gani wa kumkamata mtu wa aina hiyo; hadi wamfuate kumchukua mbele ya balozi atakae iponda serikali.
Kulikuwa na watu wanatengeneza mazingira; labda Magufuli nae ameficha mengi alipokuwa anasema nchi ni ngumu kuendesha kushinda tunavyodhani.
Angalia walivyomfanya bi tozo pambo tu tuseme nchi inakiongozi kila siku wanamrusha nje ya nchi; ata hujui nani anaongoza nchi leo.
Mmh haya. Kwamba kulikuwa na genge lingine inje ya lile la akina Bashite na Sa7aya?Yaani atekwe mbele ya ushahidi wa kimataifa.
Muda unavyozidi kwenda inaonekana kulikuwa na magenge mawili ya wasiojulikana.
Baya zaidi ni lile lilikokuwa linatengeneza mazingira ya kuichafua serikali ya Magufuli.
Vinginevyo wangemtaka Max anaetembea bila ya security kuna ugumu gani wa kumkamata mtu wa aina hiyo; hadi wamfuate kumchukua mbele ya balozi atakae iponda serikali.
Kulikuwa na watu wanatengeneza mazingira; labda Magufuli nae ameficha mengi alipokuwa anasema nchi ni ngumu kuendesha kushinda tunavyodhani.
Angalia walivyomfanya bi tozo pambo tu tuseme nchi inakiongozi kila siku wanamrusha nje ya nchi; ata hujui nani anaongoza nchi leo.
😂😂
Kadiri siku zinavyosonga mengi yanazidi kuwekwa wazi. Nikikumbuka ya Dialo, Mwingira...etcArdhi ya ubaloz kisheria inakuwa ni office ya nchi fulani.. ndio maana wana bendera za nchi zao na askari wao.. simply ile sehem ya nchi husika japo ni temporary. You just cant walk in na kuchukua watu kirahisi.
Even police wanajua hilo. I can say at that moment that was his safety net.
Matukio hayo yalishika 2015 - 2020.. and si yeye tu
Max hakuwa mtu wa kubwabwaja sana by then but haimaanish haikutokea.
hovyo kweli wewe.Wakati mwingine kama Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama tuna akili. Eti Mexcence Melo analaumu Watakuwa wenzake walitaka kumkamata "akaokolewa" na Mzungu! Akiitwa nyani na Wazungu analalamika!