Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

View attachment 2267827
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.

Kweli nchi ilikuwa ngumu sana

======

Kwenye #KurunziLive leo tunaungana na Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums (@macdemelo) anayehudhuria kongamano la vyombo vya habari ulimwenguni hapa mjini Bonn.

Tutaangazia baadhi ya masuala yanayojadiliwa kwenye kongamano lenyewe. Vilevile mafanikio na changamoto zinazokumba vyombo vya habari nchini mwako ikiwemo mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali.

Je matarajio yako ni yapi kwenye kongamano hilo? Je una swali ungetaka tumuulize Maxence Melo? Na je vyombo vya habari vimefanikiwa kwa kiwango gani kuangazia masuala yanayokugusa?

Tuandikie maoni yako, na usikose kuungana nasi mubashara itimiapo saa kumi kamili majira ya Afrika Mashariki.
Utawala wa yule shetani ulikuwa mbaya sn
 
Katika historia ya JF uchaguzi wa 2020 ndio ilikuwa mara ya kwanza kutopata cyber attack na kuweza kurusha matukio yote wazi.

Uchaguzi wa 2010 JF ilikuwa down for a week, 2015 ilikuwa down for a couple of days; na between 2010 and 2015 nadhani ndio muda viongozi wa JF walishinda mahakamani na vituo vya polisi kushinda uongozi wa raisi yeyote.

Katika kipindi hiko cha 2010-15 ofisi zao watu walishajaribu kuzipiga moto, kuna wakati polisi walimfuata Max ofisini walipomkosa wafanyakazi wao wote walikamatwa. Yeye alikuwa nje ya nchi sijui wapi ikabidi harudi haraka sana kujisalimisha wafanyakazi waachiwe. Mwisho wakaona isiwe tabu wakaamua kupeleka server zao US.

Ni hivi kuna mambo mengine viongozi wa juu awahusiki ni serikali tu.

If you ask me JF ime enjoy freedom chini ya Magufuli kushinda muda wowote. Kabla ya hapo Max na Mike Osterbay police station na mahakama za Kisutu zilikuwa kama second homes kwao.

Ata tuzo ya Max aliyopewa US ilikuwa recognised kutokana na unyanyasaji wakupigania uhuru wa habari aliopitia especially between 2010-2015.

Huyu sasa hivi keshakuwa mlamba asali ili uongezewe kopo ponda Magufuli.
Ile 2017 Max si ndio alikamatwa kwa muda mrefu hadi kampeni za free max zikatikisa sana? 2018 JF ikafungiwa takriban mwezi mzima?

Max mwenyewe nilimsikia akisema kipindi cha Magufuli walikuwa under pressure sana kuliko chochote.
 
One sided story, wengine wamefunga sana safari kwenda kupewa fund za kusengenya utawala wa magufuli. Lakini Mungu fundi lets wait, see and prove that time is a good teacher.
Kusengenya mfu ili iweje? Ameshakufa hakuna chochote cha ki gain kwa kumchafua, watu wanaeleza ukweli wa mambo ulivyokuwa
 
Wakati mwingine kama Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama tuna akili. Eti Mexcence Melo analaumu Watakuwa wenzake walitaka kumkamata "akaokolewa" na Mzungu! Akiitwa nyani na Wazungu analalamika!
Magufuli ndio alikuwa nyani, nyani si ndio unajua wanaweka ubabe kila mahali kisa wana nguvu,
 
Nachojiuliza ni Kwa nini CCM hawachangamkii fursa ya kuibadili katiba ili pasitokee tena Rais mwenye nguvu namna Ile?
 
Ulaya na US wameisadia sana Tanzania.
 
Lakini lazima tujue ukweli, JF inaendeshwa na funds kutoka nje. Ili uendelee kula pesa za wazungu ni lazima kutengeneza scenarios za kushawishi watoe mpunga. Ni sawa tu na NGO'S wanavyofanya. Hii dunia ku survive na kua strong inahitaji akili, maarifa na mbinu nyingi sana.
 
Back
Top Bottom