Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

Mlisema Miye Mpole Sasa Dawa Ni Kuleta Mkali

Tumeleta Chuma Hiki Nilipochoka Miye Yeye Atakwenda Kwa Kasi

Chuma Hiki Na Sasa Kimeanza Kutema Che ~Che ~Che

Miye Nakwenda Msoga Nitalala Usingizi Bariidii
JK Alituweza Sana
 
Katika historia ya JF uchaguzi wa 2020 ndio ilikuwa mara ya kwanza kutopata cyber attack na kuweza kurusha matukio yote wazi.

Uchaguzi wa 2010 JF ilikuwa down for a week, 2015 ilikuwa down for a couple of days; na between 2010 and 2015 nadhani ndio muda viongozi wa JF walishinda mahakamani na vituo vya polisi kushinda uongozi wa raisi yeyote.

Katika kipindi hiko cha 2010-15 ofisi zao watu walishajaribu kuzipiga moto, kuna wakati polisi walimfuata Max ofisini walipomkosa wafanyakazi wao wote walikamatwa. Yeye alikuwa nje ya nchi sijui wapi ikabidi harudi haraka sana kujisalimisha wafanyakazi waachiwe. Mwisho wakaona isiwe tabu wakaamua kupeleka server zao US.

Ni hivi kuna mambo mengine viongozi wa juu awahusiki ni serikali tu.

If you ask me JF ime enjoy freedom chini ya Magufuli kushinda muda wowote. Kabla ya hapo Max na Mike Osterbay police station na mahakama za Kisutu zilikuwa kama second homes kwao.

Ata tuzo ya Max aliyopewa US ilikuwa recognised kutokana na unyanyasaji wakupigania uhuru wa habari aliopitia especially between 2010-2015.

Huyu sasa hivi keshakuwa mlamba asali ili uongezewe kopo ponda Magufuli.
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.

Kweli nchi ilikuwa ngumu sana
Acha uhuni, born town alitengeneza mchongo ili kumchafua Dkt Magufuli.
 
Katika historia ya JF uchaguzi wa 2020 ndio ilikuwa mara ya kwanza kutopata cyber attack na kuweza kurusha matukio yote wazi.

Uchaguzi wa 2010 JF ilikuwa down for a week, 2015 ilikuwa down for a couple of days; na between 2010 and 2015 nadhani ndio muda viongozi wa JF walishinda mahakamani na vituo vya polisi kushinda uongozi wa raisi yeyote.

Katika kipindi hiko cha 2010-15 ofisi zao watu walishajaribu kuzipiga moto, kuna wakati polisi walimfuata Max ofisini walipomkosa wafanyakazi wao wote walikamatwa. Yeye alikuwa nje ya nchi sijui wapi ikabidi harudi sana kujisalimisha waachiwe. Mwisho wakaona isiwe tabu wakaamua kupeleka server zao US.

Ni hivi kuna mambo mengine viongozi wa juu awahusiki ni serikali tu.

If you ask me JF ime enjoy freedom chini ya Magufuli kushinda muda wowote. Kabla ya hapo Max na Mike Osterbay police station na mahakama za Kisutu zilikuwa kama second homes kwao.

Ata tuzo ya Max aliyopewa US ilikuwa recognised kutokana na unyanyasaji wakupigania uhuru wa habari aliopitia especially between 2010-2015.

Huyu sasa hivi keshakuwa mlamba asali ili uongezewe kopo ponda Magufuli.
Kweli mkuu. Alikuwa Malaika
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.

Kweli nchi ilikuwa ngumu sana
Ila Maxence Melo ana Siri nyingi alizofanyiwa dhidi ya Wana CCM, unakumbuka siku tunatoka Ocean Road tukawa tunapiga story kuhusu hawa Jamaa?? Long way back Akina slaa
 
Huu uongo kwanini wasubiri awe na balozi ndo watake kumchukua? Kwani hawazijui ofisi zake zilipo? Au huwajui nyumbani kwake?
Muongo ni nani kati yako wewe unayehisi na aliyekuwepo eneo la tukio?
Kwani hata kina lisu si walisindikizwa na mabalozi ama na hili nalo la UONGO?
 
View attachment 2267827
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.

Kweli nchi ilikuwa ngumu sana

======

Kwenye #KurunziLive leo tunaungana na Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums (@macdemelo) anayehudhuria kongamano la vyombo vya habari ulimwenguni hapa mjini Bonn.

Tutaangazia baadhi ya masuala yanayojadiliwa kwenye kongamano lenyewe. Vilevile mafanikio na changamoto zinazokumba vyombo vya habari nchini mwako ikiwemo mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali.

Je matarajio yako ni yapi kwenye kongamano hilo? Je una swali ungetaka tumuulize Maxence Melo? Na je vyombo vya habari vimefanikiwa kwa kiwango gani kuangazia masuala yanayokugusa?

Tuandikie maoni yako, na usikose kuungana nasi mubashara itimiapo saa kumi kamili majira ya Afrika Mashariki.
View attachment 2267832
Mungu ni mwema sana siku zote. Mungu alipitia kwa Balozi akamponya Mtumishi wake
 
Mlisema Miye Mpole Sasa Dawa Ni Kule Mkali

Tumeleta Chuma Hiki Nilipochoka Miye Yeye Atakwenda Kwa Kasi

Chuma Hiki Na Sasa Kimeanza Kutema Che ~Che ~Che

Miye Nakwenda Msoga Nitalala Usingizi Bariidii
JK Alituweza Sana
Hahaha we mjinga sana.
 
Mwaka 2015 Jamiiforums ilipigwa pini.

Magufuli hakuwa Rais.

Msisahau.
 
habari vimefanikiwa kwa kiwango gani kuangazia masuala yanayokugusa?
Hili hapa ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu, si sasa wala jana.

Vyombo vya habari Tanzania, na wanaovihudumia vyombo hivyo ni sehemu ya tatizo kwa nchi yetu.

Waandishi wa habari ni kama hawaendi shule kusomea taaluma zao katika uandishi wa habari; wengi wao ni kama wapo kupiga kampeni za kuwa wakuu wa Wilaya, au kuteuliwa sehemu mbalimbali za kisiasa.

Vyombo vya habari, kwa sehemu kubwa ni kufanya biashara na mlipaji mku,- serikali.

Tumeporomoka katika maeneo mbalimbali Tanzania, lakini hili la uandishi wa habari linaongoza.

Kusema kumekuwepo na ufanisi katika vyombo vya habari na waandishi katika vyombo hivyo ni kutokuwa mkweli.
 
UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA
Wakati huu sijui Mbowe angekuwa na hali gani.

Inawezekana sana CHADEMA ingekuwa tayari ni historia na siyo iliyosinzia tu kama ilivyo wakati huu!

Kwa kweli mipango ya Mungu hakuna aijuaye.
 
Back
Top Bottom