Zama zile za giza...nchi ilikuwa inaweza kuongozwa zaidi ya mwezi kutokea machakani
..kosa lake lilikuwa ni kutoka kule machakani kuja mjini ambako covid ilimlamba.
..angeendelea kujichimbia kule leo hii angekuwa yungali hai anadunda na kutesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama zile za giza...nchi ilikuwa inaweza kuongozwa zaidi ya mwezi kutokea machakani
Acha uhuni, born town alitengeneza mchongo ili kumchafua Dkt Magufuli.Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.
Kweli nchi ilikuwa ngumu sana
Ilikuwa enzi za utawala wa giza.Imenibidi nirudie kusoma heading ili nihakiki mwaka ulioandikwa.
Kweli mkuu. Alikuwa MalaikaKatika historia ya JF uchaguzi wa 2020 ndio ilikuwa mara ya kwanza kutopata cyber attack na kuweza kurusha matukio yote wazi.
Uchaguzi wa 2010 JF ilikuwa down for a week, 2015 ilikuwa down for a couple of days; na between 2010 and 2015 nadhani ndio muda viongozi wa JF walishinda mahakamani na vituo vya polisi kushinda uongozi wa raisi yeyote.
Katika kipindi hiko cha 2010-15 ofisi zao watu walishajaribu kuzipiga moto, kuna wakati polisi walimfuata Max ofisini walipomkosa wafanyakazi wao wote walikamatwa. Yeye alikuwa nje ya nchi sijui wapi ikabidi harudi sana kujisalimisha waachiwe. Mwisho wakaona isiwe tabu wakaamua kupeleka server zao US.
Ni hivi kuna mambo mengine viongozi wa juu awahusiki ni serikali tu.
If you ask me JF ime enjoy freedom chini ya Magufuli kushinda muda wowote. Kabla ya hapo Max na Mike Osterbay police station na mahakama za Kisutu zilikuwa kama second homes kwao.
Ata tuzo ya Max aliyopewa US ilikuwa recognised kutokana na unyanyasaji wakupigania uhuru wa habari aliopitia especially between 2010-2015.
Huyu sasa hivi keshakuwa mlamba asali ili uongezewe kopo ponda Magufuli.
Hakuwa malaika ila apewe lawama stahikiKweli mkuu. Alikuwa Malaika
Aombewe maji ya kunywa?🤔🤔🤔😂😂😂Na jamaa yule alikua anasimama mbele ya hadhara akidai tumuombee,mishipa ya aibu ya Bwn yule ilikua imeshakatika kitambo.
Ndiyo ninachomaanisha,nchi bado ngumu.Hakunaga utawala mwepesi mwepesi
Utawala wowote lazima kuwe na vuta ni kuvute
Ova
Ila Maxence Melo ana Siri nyingi alizofanyiwa dhidi ya Wana CCM, unakumbuka siku tunatoka Ocean Road tukawa tunapiga story kuhusu hawa Jamaa?? Long way back Akina slaaAkihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.
Kweli nchi ilikuwa ngumu sana
Muongo ni nani kati yako wewe unayehisi na aliyekuwepo eneo la tukio?Huu uongo kwanini wasubiri awe na balozi ndo watake kumchukua? Kwani hawazijui ofisi zake zilipo? Au huwajui nyumbani kwake?
Mungu ni mwema sana siku zote. Mungu alipitia kwa Balozi akamponya Mtumishi wakeView attachment 2267827
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.
Kweli nchi ilikuwa ngumu sana
======
Kwenye #KurunziLive leo tunaungana na Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiForums (@macdemelo) anayehudhuria kongamano la vyombo vya habari ulimwenguni hapa mjini Bonn.
Tutaangazia baadhi ya masuala yanayojadiliwa kwenye kongamano lenyewe. Vilevile mafanikio na changamoto zinazokumba vyombo vya habari nchini mwako ikiwemo mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali.
Je matarajio yako ni yapi kwenye kongamano hilo? Je una swali ungetaka tumuulize Maxence Melo? Na je vyombo vya habari vimefanikiwa kwa kiwango gani kuangazia masuala yanayokugusa?
Tuandikie maoni yako, na usikose kuungana nasi mubashara itimiapo saa kumi kamili majira ya Afrika Mashariki.
View attachment 2267832
Hahaha we mjinga sana.Mlisema Miye Mpole Sasa Dawa Ni Kule Mkali
Tumeleta Chuma Hiki Nilipochoka Miye Yeye Atakwenda Kwa Kasi
Chuma Hiki Na Sasa Kimeanza Kutema Che ~Che ~Che
Miye Nakwenda Msoga Nitalala Usingizi Bariidii
JK Alituweza Sana
Hili hapa ni tatizo kubwa sana kwa nchi yetu, si sasa wala jana.habari vimefanikiwa kwa kiwango gani kuangazia masuala yanayokugusa?
Wakati huu sijui Mbowe angekuwa na hali gani.UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA
DuhNimemsikiliza anasema wasiojulikana bado wapo serikalini na wanangoja TU huyo mama Samia aachie ngazi warudie Tena madhambi yao