Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

Utawala wa yule shetani ulikuwa mbaya sn
 
Ile 2017 Max si ndio alikamatwa kwa muda mrefu hadi kampeni za free max zikatikisa sana? 2018 JF ikafungiwa takriban mwezi mzima?

Max mwenyewe nilimsikia akisema kipindi cha Magufuli walikuwa under pressure sana kuliko chochote.
 
One sided story, wengine wamefunga sana safari kwenda kupewa fund za kusengenya utawala wa magufuli. Lakini Mungu fundi lets wait, see and prove that time is a good teacher.
Kusengenya mfu ili iweje? Ameshakufa hakuna chochote cha ki gain kwa kumchafua, watu wanaeleza ukweli wa mambo ulivyokuwa
 
Wakati mwingine kama Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama tuna akili. Eti Mexcence Melo analaumu Watakuwa wenzake walitaka kumkamata "akaokolewa" na Mzungu! Akiitwa nyani na Wazungu analalamika!
Magufuli ndio alikuwa nyani, nyani si ndio unajua wanaweka ubabe kila mahali kisa wana nguvu,
 
Nachojiuliza ni Kwa nini CCM hawachangamkii fursa ya kuibadili katiba ili pasitokee tena Rais mwenye nguvu namna Ile?
 
Ulaya na US wameisadia sana Tanzania.
 
Lakini lazima tujue ukweli, JF inaendeshwa na funds kutoka nje. Ili uendelee kula pesa za wazungu ni lazima kutengeneza scenarios za kushawishi watoe mpunga. Ni sawa tu na NGO'S wanavyofanya. Hii dunia ku survive na kua strong inahitaji akili, maarifa na mbinu nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…