Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Chahali yuko nchi gani?? Yule jamaa simuaminiamini.Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore.
Mkusanyiko huo utajumuisha Waandishi wa Habari na Waendeshaji wa Majukwaa mbalimbali kutoka Kabul, Dar es Salaam, Amman na Copenhagen, wakijadili masuala mbalimbali kuhusu Demokrasia Kidigitali.
Mjadala huu ni sehemu ya maadhimisho ya kila mwaka ya Demokrasia Mitandaoni kutoka Digital Democracy Initiative.
Huyu alitakiwa kuwa mkuu wa jukwaa/wizara ya ubunifu na utamiaji vipaji.Huyu jamaa anaipaisha sana Tanzania kimataifa. Huyu ni asset kwa taifa.
Kabisa mkuu. Ni moja ya vichwa vichache vilivyoleta mapinduzi kwenye ubunifu na teknolojia nchini. Anastahili heshima.Huyu alitakiwa kuwa mkuu wa jukwaa/wizara ya ubunifu na utamiaji vipaji.
Asset kubwa sana hii.
Mungu ambariki sana ndugu Maxence Melo .
Amen.
Kabisa mkuu. Ni moja ya vichwa vichache vilivyoleta mapinduzi kwenye ubunifu na teknolojia nchini. Anastahili heshima.