Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
63?Kwa nini umuamini waziri Mkuu ambae anaficha hata mvi zake kwa kupaka super black ili isionekane hata mvi moja ilihali ana miaka 63. Dunia nzima tafuta kiongozi mwenye umri wake ambae hata mvi moja tuone kama utampata. Mzee muongo muongo sana!!
Kumbe amekula gunia nyingi za chumvi ya Lindi.U
Memaliza kila kitu.Tatizo lenu wengi humu Jf Siasa mmekutana nazo mkiwa na NJAA
Lowassa alishambuliwa kweli lakini baada ya kujiuzulu uPM akajieleza na akaeleweka kiasi cha 2015 kupata 40% ya kura
Unapoona NEC imempa alama 40 ujue alishinda maana hiyo ni Pure haina wizi ndani yake 😂
Mwaashambwa,wewe hujui siasa bali njaa ndiyo inayo kuendesha. Yaani ile wanaita 7K.