Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Kwa nini umuamini waziri Mkuu ambae anaficha hata mvi zake kwa kupaka super black ili isionekane hata mvi moja ilihali ana miaka 63. Dunia nzima tafuta kiongozi mwenye umri wake ambae hata mvi moja tuone kama utampata. Mzee muongo muongo sana!!
63?
Kumbe amekula gunia nyingi za chumvi ya Lindi.U
Tatizo lenu wengi humu Jf Siasa mmekutana nazo mkiwa na NJAA

Lowassa alishambuliwa kweli lakini baada ya kujiuzulu uPM akajieleza na akaeleweka kiasi cha 2015 kupata 40% ya kura

Unapoona NEC imempa alama 40 ujue alishinda maana hiyo ni Pure haina wizi ndani yake 😂
Memaliza kila kitu.
Mwaashambwa,wewe hujui siasa bali njaa ndiyo inayo kuendesha. Yaani ile wanaita 7K.
 
Kati ya Lissu na aliyesema kuwa Magufuli yuko ofisini anapiga kazi muongo ni yupi?
Kumtembelea haiondoi tabia yake Lissu ya asili ambayo ni ukurupukaji,uongo, unafiki,kupayuka,mihemuko,ukigeugeu,undumila kuwili,n.k. Rais samia alikwenda kumtembelea na siyo kubadilisha hulka yake.
 
Asante
Imebidi kuangalia profile yako na mijadala ya awali ulipochangia, nimejifunza na kugundua kitu.
Ni vijana wa uzazi wa mpango, ni kijana wa MEMKWA.
NI kijana wa Artificial insermination.
Ni kijana unayeishi kwa kutegemea kudra za Chama badala kujisimamia.
Asante kwa msaada wako mkuu.
 
Ugonjwa wa mtu ni Siri kati ya Daktari na mgonjwa sio tangazo la biashara

Mtu Baki awe Waziri mkuu au yeyote hawezi ibuka kuongelea ugonjwa wa Mtu au hata kutamka kuwa mgonjwa labda mwenyewe aseme mbele ya vyombo vya habari au atoke ruksa
Mkuu wapi nimesema au kuna mtu kasema anataka kujua ugonjwa aliokuwa anaumwa VP? Au umekurupuka tu😄🙌
 
Ugonjwa wa mtu ni Siri kati ya Daktari na mgonjwa sio tangazo la biashara

Mtu Baki awe Waziri mkuu au yeyote hawezi ibuka kuongelea ugonjwa wa Mtu au hata kutamka kuwa mgonjwa labda mwenyewe aseme mbele ya vyombo vya habari au atoke ruksa
Kuna ambaye amehitaji kuambiwa ugonjwa?
Mimi nionavyo watu walihitaji waambiwe aliko.

Lkn mbona Rais wa hawamu ya nne aliaga kwenda kwenye matibabu na wakati anatibiwa picha zikatumwa?
 
Ugonjwa wa mtu ni Siri kati ya Daktari na mgonjwa sio tangazo la biashara

Mtu Baki awe Waziri mkuu au yeyote hawezi ibuka kuongelea ugonjwa wa Mtu au hata kutamka kuwa mgonjwa labda mwenyewe aseme mbele ya vyombo vya habari au atoke ruksa
ndugu ukiamua kuacha kazi BOYT, ualimu chuo kikuu, kuacha kanisa na kuja kwenye siasa jua mambo yako lazma yawe hadharani maana waajiri wako ni wananchi.
Kama unataka usiri nenda kwa m'mep mjifiche huko.
Kiongozi kama kikwete aliumwatezi dume na akaliambia Taifa, Nyerere alipata kansa ya damu na taifa likaambiwa.
Who is Mpango tusiambiwe? hii tabia imeanza na sukuma Gang, acha upuuzi usilete mambo ya awali ambayo Mungu ilibidi kuingilia ugomvi.
 
Kuna ambaye amehitaji kuambia ugonjwa?
Mimi nionavyo watu walihitaji waambiwe aliko.

Lkn mbona Rais wa hawamu ya nne aliaga kwenda kwenye matibabu na wakati anatibiwa picha zikatumwa?
Nyerere Kansa ya damu tukaambiwa na hospitali ya ST Thomas aliolazwa tukaambiwa, kilitokea? Kuna madhara?
Kikwete alipimwa tezi dume na kutibiwa, alitujuza , kulikuwa na shida?
Why haya mambo ya awamu za Sukuma Gang?
 
Wakati late Nyerere alipopelekwa St Thomas tuliambiwa, late Mkapa alipoenda kufanyiwa operation ya hip huko Switzerland tuliambiwa na JK alipoenda US kufanya operation ya tezi dume pia tuliambiwa!

Ujinga wa watawala wa awamu ya 5/6 ni kudhani wao ni immortals...we are all humans with different responsibilities tu kwenye jamii, wao kama watawala na wengine kama raia wa kawaida!

There is no shame kwa binadamu kuumwa, hiyo ndiyo nature!
Umewakumbusha vizuri.
 
Kutokuaminika inamaanisha wewe ni muongo.
Na ukisema Mwongo unamzungumzia Shetani.
Mwongo ndiye shetani au mtoto wa shetani. Shetani bila uongo haitwi shetani
Uwongo ni kawaida yao. Wasikikize wengine hapa chini..!!
 
Wakati late Nyerere alipopelekwa St Thomas tuliambiwa, late Mkapa alipoenda kufanyiwa operation ya hip huko Switzerland tuliambiwa na JK alipoenda US kufanya operation ya tezi dume pia tuliambiwa!

Ujinga wa watawala wa awamu ya 5/6 ni kudhani wao ni immortals...we are all humans with different responsibilities tu kwenye jamii, wao kama watawala na wengine kama raia wa kawaida!

There is no shame kwa binadamu kuumwa, hiyo ndiyo nature!
Kuna mtu kaitwa MUONGO WA TAIFA na GENTAMYCINE
 
Mpango , kama makamu wa Rais amewadhalilisha WATANZANIA nikiwepo mimi.

Kitendo cha kuongea uhongo mbele ya madhabau ya Bwana hakikubaliki , Naongea kama mkistu alie hai na Mungu wangu najua yu pamoja nami

MPANGO a.k.a Makamu wa Rais wa JMT hatengwe na kanisa, na watz wote period ,
Pamoja na UHONGO wake HASITENGWE na kanisa, bali HAREKEBISHWE kwa kukemewa..!!
 
Back
Top Bottom