Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Milele amina Muumini. Lol! Na wewe umekamatika? Nilikuwa natesa na FL1 pekeyetu humu ndani. Mpaka kimeeleweka.
nashindwa kuziona thanks zako,zangu na za wengine...vipi kuna nin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milele amina Muumini. Lol! Na wewe umekamatika? Nilikuwa natesa na FL1 pekeyetu humu ndani. Mpaka kimeeleweka.
nashindwa kuziona thanks zako,zangu na za wengine...vipi kuna nin?
Nimejaribu kukugongea thanks lakini hola, ngoja nijaribu tena. Naona labda kigongeo kimepatwa na shoti iliyosababishwa na mgawo. Ngoja nijaribu tena.
U will have first class treatment!
Nitakuwepo airport kukulaki wewe niPM mimi!
Kabla hatujaingia choo cha kike babylove: Are you he or she?
hamchelewi nanyi....mmmmmmnh! mtu anawapongeza mnataka kujua mengine meeeengi ya nini!
tehtehteh, uje na vaseline kabisa, maana huyu jamaa kwenye posts zake nyingi hakosi kuzungumzia jinsi ya kum-express mwanadada
Mkuu,
Hizo Vaseline zinatumika jela tu. Uraiani na kwa watu wastaarabu kama Masa, nafikiri atakuwa anatumia mavitu ya hali ya juu zaidi. Au hufahamu Mikwara ya Wasukuma?
![]()
My picture in one of my pose
My picture in one of my pose
![]()
Nguli Mbona umefanana sana na Chrispin hasa kwenye idara?
Binamu utafukuza watoto humu.
Ha ha ha ha nafikiri upepo umesukuma suruale kidogo sina kipaji wala nini,
Mzee naona hapo ulipiga single bila kale kakaptura kwa ndani!
Mzee naona hapo ulipiga single bila kale kakaptura kwa ndani!
Nilikuwa ninatoka mazoezi kidogo siunaona kitambi kinakuja....na jamani sina mchumba si mnaona nilivyo handsome...jitokezeni na wenye ndoa pia huduma ipo