May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Milele amina Muumini. Lol! Na wewe umekamatika? Nilikuwa natesa na FL1 pekeyetu humu ndani. Mpaka kimeeleweka.

nashindwa kuziona thanks zako,zangu na za wengine...vipi kuna nin?
 
Nimejaribu kukugongea thanks lakini hola, ngoja nijaribu tena. Naona labda kigongeo kimepatwa na shoti iliyosababishwa na mgawo. Ngoja nijaribu tena.
 
virus imepita ghafla kwenye thanks 🙂
 
U will have first class treatment!

Nitakuwepo airport kukulaki wewe niPM mimi!

tehtehteh, uje na vaseline kabisa, maana huyu jamaa kwenye posts zake nyingi hakosi kuzungumzia jinsi ya kum-express mwanadada
 
hamchelewi nanyi....mmmmmmnh! mtu anawapongeza mnataka kujua mengine meeeengi ya nini!

Raha ya kupongezwa ni kupata na kazawadi. Zawadi toka jinsia tofauti si unajua ilivo tamu. Sasa jibu swali, are you she or He?
 
tehtehteh, uje na vaseline kabisa, maana huyu jamaa kwenye posts zake nyingi hakosi kuzungumzia jinsi ya kum-express mwanadada

Mkuu,

Hizo Vaseline zinatumika jela tu. Uraiani na kwa watu wastaarabu kama Masa, nafikiri atakuwa anatumia mavitu ya hali ya juu zaidi. Au hufahamu Mikwara ya Wasukuma?

durex_paly.jpg
 
Babylove, uvumbuzi bado kupata tu kuhusu swala lako hili??
 
Mkuu,

Hizo Vaseline zinatumika jela tu. Uraiani na kwa watu wastaarabu kama Masa, nafikiri atakuwa anatumia mavitu ya hali ya juu zaidi. Au hufahamu Mikwara ya Wasukuma?

durex_paly.jpg

Tawire baba!
 
Mzee naona hapo ulipiga single bila kale kakaptura kwa ndani!

Nilikuwa ninatoka mazoezi kidogo siunaona kitambi kinakuja....na jamani sina mchumba si mnaona nilivyo handsome...jitokezeni na wenye ndoa pia huduma ipo
 
Binamu taratibu, utatupeperushia baadhi ya ndege wetu.
 
Back
Top Bottom