May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

hahahahaaa.bado bwana,Fidel hajasema kitu wala nguli.hao akina SHE ndio kabisaaa.uwe na subira ili upigaji kura uwe huru na wa haki.Halafu hakuna kampeni!

Hahaha! Mchumba kwa kukwepa majukumu sikuwezi.
 
Sio kukwepa majukumu,si unajua kuna kuchunguzana wakati wa uchumba?Ukijifanya unafanya kazi TRA kumbe una guta lako kariakoo?

Darling unapenda hela sanae? Si ndio? Basi hapa ndio nyumbani kwake, usihofu. Kazi TRA tunafanya na guta Kariakoo tunalo. Vyotevyote.
 
ila ningependa hasa nionane na first lady she is making me big time
 
Huyo anyewatafuta atawamaliza wote. Achana naye
 
Back
Top Bottom