NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,801
- 643
Huyo anyewatafuta atawamaliza wote. Achana naye
Mkuu atatumaliza kwa lipi? ugonjwa au ki serial zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anyewatafuta atawamaliza wote. Achana naye
Naona kajipotelea sijui yupo kijijini?
Nipo naye huku Mbagala tumejificha na mabomu!
Hehehehe umelamba dume mpwa
Nipo naye huku Mbagala tumejificha na mabomu!
Salama lakini kiongozi? Bwana nasikia mliangusha bonge la mnuso sehemu sehemu week end Tusker waliongeza mauzo....Nguli kanihabarisha...Mazee naungana nanyi soon libeneke kama kawa....

Kichwa cha FIDEL kiko fresh, kama ni zamani tungemfananisha na redio ya bendi 12
Hehehe sure mpwa tulikandamiza Ndovu mpya balaa ila Chrispin alituangusha aliingia mitini kiaina kwa ahadi nyingi hewa si tukaaendeleza makamuzi.
You Guyz are best in da world.....Xpin si ni mzee wa mizigo, hapo atakuwa alitanguliza sehemu......Fidel naambiwa ni radio ya mkulima zile za enzi zile!

Hehehehe zile za mbao si unazijua mpwa teh teh teh alienda kwenye rusha roho Xpin mijimama ya magomeni na Ilala ile aliifuata.
Hehehehe zile za mbao si unazijua mpwa teh teh teh alienda kwenye rusha roho Xpin mijimama ya magomeni na Ilala ile aliifuata.
Hehehe sure mpwa tulikandamiza Ndovu mpya balaa ila Chrispin alituangusha aliingia mitini kiaina kwa ahadi nyingi hewa si tukaaendeleza makamuzi.
Rudi nyuma kama page mbili utaona ile picha yako ukiwa pale posta
Hehehehe zile za mbao si unazijua mpwa teh teh teh alienda kwenye rusha roho Xpin mijimama ya magomeni na Ilala ile aliifuata.
Mimi pia nataka kuonana na hawa watu
Kwi kwi kwi! te te te, XSPN siitaji kumuuliza ni chama gani cha siasa....ana ahadi hewa sana
NB: HII TREAD YA BABY WETU UNARUHUSIWA KWENDA NJE YA MAADA NA ZII IS STRICLY FORBIDEN
yah!tunaandaa minutes za kikao kilichopita.zikikamilika tutawatumia kwa barua pepe.then mtapendekeza kikao kikae baa gani next timeHahaha! Wapwa si mnakumbuka niliwataka radhi? MPwa Geoff akanikandamiza na faini niliyokubali kuilipa? Haijalishi kitu, there is always next time. Nadhani itabidi kikao kikae tena. The sooner the better!
We nitumie PM nitakukutanisha na wote hao mpaka Yo Yo alafu Nguli, George_Porjie, Geoff, ZD & Chrispin n.k