Mayai ni chaguo zuri, ila mwachezi Malinzi amalizie aliyoyaanza

Huyo Malinzi yunaomba asichaguliwe tena jamani,nyie wapiga kura kama mpo humu chondechonde atatumalizia soka letu akirudi tena, soka letu linapumulia mashine.
 

Kwa jinsi unavyohakikisha kila siku unakuja na uzi humu wa kumuhusu Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi huku ukimpamba naamini kuwa mpaka Uchaguzi ukimalizika utakuwa angalau na Ka kibanda Kako au Ka vitz Kako au pengine kupata Zawadi ya Kumbebea Mimba ili umzalie Baby TFF.
 
Reactions: pri
Hata Neville ni mchambuzi mzuri sana akadandia fani ya ukocha kilichompata Valencia kila MTU shahidi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe kila unaemuanzishia Uzi hapa na kumsifia anakula nyero yako sio?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
kwan amalizie hayo aliyoyaanza alikuwa haandiki..?
Una uhakika gani kama Tenga alimaliza ya kwake yote..? Unaweza kuta Mainz mengi anayoyafanya aliyakuta kwa makaratasi aliyaacha mtangulizi wake.
#Piga_chini_MALINZI_kwa_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_wa_SOKA_Letu

#Mawazo_huru
 
Pambana uondokane na umasikini fukara wa fikra ww, ;huyo malinzi wako mwambie aende bukoba akalime ndizi Tff hatumuitaji tena tunataka wenye idea na mpira
Wewe ndio huna akili kabisa kwa kuona aliecheza Moira ndio anafaa kuongoza chama cha mpira basi kama ni hivyo Julio angekuwa rais wa kudumu wa TFF.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kuibeba yanga!
 
wote wawili hawafai mayai na malinzi afadhali mwakalebela ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu tff alifanya kazi kubwa kubwa kabla hajaondoka .
Ukisoma ripoti ya ukaguzi wa fedha wa tff utajua kwanini wote hawafai pia mayai aliwahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya yanga na baadae akajiuzulu kabla ya kugombea tena akakataliwa .
 
Tanzania bado sijaona maana ya kuwa na vingozi katika masuala ya mpira maana waliokuwepo hakuna walichofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…