kanali gadafi
Senior Member
- May 5, 2017
- 139
- 146
Ally mayai anafaa sasa kuwa Rais wa TFF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi TFF unakaribia.
Ally Mayai Tembele na Jamal Malinzi wanaonekana washindani wenye nguvu zaidi wa nafasi ya Urais.
Ila napenda turudi nyuma,twende mbele. Miaka 4 haijawahi kumtosha na haitokuja kumtosha yeyote yule kwenye nafasi ya Uraisi wa TFF kufanya jambo ambalo linaweza kupendeza sana wapenda kandanda.
Ukizingatia watanzania tupendavyo short-cut ya Maendeleo, wengi wetu tunaona hakuna kitu chochote alichofanya JEM kwa kipindi chake chote cha Miaka 4.
Najua kunawengine tumezaa chuki mioyoni mwetu kutokana na Usimba na Uyanga tu.
Ila jambo muhimu ni kuwa JEM anahitaji miaka 4 zaidi muda wake uweze kupimwa na Maendelea aliyohusika nayo.
Kuna hii dhana ambayo tumejijenge kuwa soka la bongo linaposhndwa kupiga hatua kidogo, basi wa kulaumwa ni rais wa TFF. Hivi mmeshawahi kujiuliza vilabu vyenu vya Simba na Yanga vinafanya jitihada gani kukuza soka la bongo?
Au mnatarajia TFF iandae progamu za kukuza soka vilabuni vyenu humo?
Binafsi naipongeza TFF na rais wake kwa kuonyesha njia hasa kwenye suala la kukuza soka la vijana.
Ninaamini kuna mengi mno ambayo yapo kwenye mipango ya JEM kuhusu soka la Bongo....
Licha ya kuwa na muda mchache sana wa kutimiza hayo .....nimefurahia jitihada zake za kutokata tamaa na kuwania nafasi ya Urais kwa Mara nyingine tena ili kukamilisha yale makubwa zaidi aliyo yakusudia kwa ajili ya soka la Bongo.
Sina kinyongo kabisa na mdogo wangu Ally Mayay naye namtakia kila la kheri, ila akae akijua kuwa huu si wakati wake.
Na kwamba JEM amejipanga vilivyo kumgaragaza kwenye uwanja wa Uchaguzi.
Namshauri Ally Mayay ajipange upya kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2021.
Ninauhakika kuwa wajumbe wapiga kura watahakiksha ushindi wa kishindo kwa JeM
@TeamMalinzi
Hata Neville ni mchambuzi mzuri sana akadandia fani ya ukocha kilichompata Valencia kila MTU shahidi.Mayay amekubalika sababu ya uchambuzi wake wa soka la Tanzania kwenye vituo kama Azam ,clouds akina shaffi humuita na amekuwa akizungumzia soka la TZ kwa ueledi
Ndio maana leo hii unaona mayay ana mashabiki wengi hata wa simba ,mayay amejijenga kwenye media kwa ufanisi wake ndio maana watu hawaja doubt alipochukua form
Hao ni vifuu tundu mkuu hawajui lolote.Mnataka kumchagua Ally mayai kwa kuwa alikuwa mchezaji kwani anaenda kucheza mpira ofisini?
Wewe ni nyumba kubwa ya Mayai?HUYO nyumba ndogo ya malinzi mkuu,,achananae atakuumiza kichwa
Nyie ndio mnapiga kura hapa Jf?Pamoja na mimi ndiyo maana katumia 'tumemchoka' kuonyesha hayupo peke yake.
Kwa hiyo wewe kila unaemuanzishia Uzi hapa na kumsifia anakula nyero yako sio?Kwa jinsi unavyohakikisha kila siku unakuja na uzi humu wa kumuhusu Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi huku ukimpamba naamini kuwa mpaka Uchaguzi ukimalizika utakuwa angalau na Ka kibanda Kako au Ka vitz Kako au pengine kupata Zawadi ya Kumbebea Mimba ili umzalie Baby TFF.
Kwa hiyo wewe kila unaemuanzishia Uzi hapa na kumsifia anakula nyero yako sio?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Wewe ndio huna akili kabisa kwa kuona aliecheza Moira ndio anafaa kuongoza chama cha mpira basi kama ni hivyo Julio angekuwa rais wa kudumu wa TFF.Pambana uondokane na umasikini fukara wa fikra ww, ;huyo malinzi wako mwambie aende bukoba akalime ndizi Tff hatumuitaji tena tunataka wenye idea na mpira
Kuibeba yanga!Uchaguzi TFF unakaribia.
Ally Mayai Tembele na Jamal Malinzi wanaonekana washindani wenye nguvu zaidi wa nafasi ya Urais.
Ila napenda turudi nyuma,twende mbele. Miaka 4 haijawahi kumtosha na haitokuja kumtosha yeyote yule kwenye nafasi ya Uraisi wa TFF kufanya jambo ambalo linaweza kupendeza sana wapenda kandanda.
Ukizingatia watanzania tupendavyo short-cut ya Maendeleo, wengi wetu tunaona hakuna kitu chochote alichofanya JEM kwa kipindi chake chote cha Miaka 4.
Najua kunawengine tumezaa chuki mioyoni mwetu kutokana na Usimba na Uyanga tu.
Ila jambo muhimu ni kuwa JEM anahitaji miaka 4 zaidi muda wake uweze kupimwa na Maendelea aliyohusika nayo.
Kuna hii dhana ambayo tumejijenge kuwa soka la bongo linaposhndwa kupiga hatua kidogo, basi wa kulaumwa ni rais wa TFF. Hivi mmeshawahi kujiuliza vilabu vyenu vya Simba na Yanga vinafanya jitihada gani kukuza soka la bongo?
Au mnatarajia TFF iandae progamu za kukuza soka vilabuni vyenu humo?
Binafsi naipongeza TFF na rais wake kwa kuonyesha njia hasa kwenye suala la kukuza soka la vijana.
Ninaamini kuna mengi mno ambayo yapo kwenye mipango ya JEM kuhusu soka la Bongo....
Licha ya kuwa na muda mchache sana wa kutimiza hayo .....nimefurahia jitihada zake za kutokata tamaa na kuwania nafasi ya Urais kwa Mara nyingine tena ili kukamilisha yale makubwa zaidi aliyo yakusudia kwa ajili ya soka la Bongo.
Sina kinyongo kabisa na mdogo wangu Ally Mayay naye namtakia kila la kheri, ila akae akijua kuwa huu si wakati wake.
Na kwamba JEM amejipanga vilivyo kumgaragaza kwenye uwanja wa Uchaguzi.
Namshauri Ally Mayay ajipange upya kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2021.
Ninauhakika kuwa wajumbe wapiga kura watahakiksha ushindi wa kishindo kwa JeM
@TeamMalinzi
Na Mayai ataibeba Simba?Kuibeba yanga!
Hovyo kuliko wewe?Malinzi ovyo kabisa
Kama hatupigi kura nyuzi zake mnazileta za nini huku kila siku?
Hiyo naona mimi pia ni dalili mojawapo ya uchu wa madarakaRais pekee dunian ambaye n mwenyekit wa chama cha soka mkoan kwake