Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari.
Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42.
Marafiki wawili waliweka ushindani wa kula mayai 50 na mshindi atachukua kiasi cha rupee 2, 000[£21].
Mr Yadav alikubali shindano na alimudu kula mayai 41 alipokula la 42 alipoteza fahamu na kuwaishwa hospitali ya Sanjay ghandhi post graduate alipoteza maisha saa moja baadae.
Daktari alisema kifo chake kimesababishwa na ulaji kupita kiasi.
Ulaji wa mayai mengi kwa mkupuo yanaweza sababisha kuvimbiwa, kujaa kwa gesi kwenye utumbo na kusababisha Kansa, vidonda vya tumbo na kupaliwa.