Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Kumbe limit ni 41.alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42.
Jaribu uone kama utafika 17.Kumbe limit ni 41.
Huyo hawezi tena kuhadithia ulaji wa mayai.Atajihusisha na uhubiri kuhusu uchavushaji/pollination.RIP yadav someday will meet in our next life. Maybe you'll tell me the egg story
Rest in peace grandpa😢
Kwa mujibu wa marehemu limitation ni 41 mkuuJaribu uone kama utafika 17.
Anakuingiza chaka ili mkajitetee wote kwa kutokuwa na kiasi kama CCM.At ya own risk!Kwa mujibu wa marehemu limitation ni 41 mkuu
Ila watu,,!! 🤣🤣Kumbe limit ni 41.
Kwa hiyo tatizo ni mayai au kula kupita kiasi? Angekula mapaja 42 ya kuku angekuwa salama?Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari.
Ulaji wa mayai mengi kwa mkupuo yanaweza sababisha kuvimbiwa, kujaa kwa gesi kwenye utumbo na kusababisha Kansa, vidonda vya tumbo na kupaliwa.
Wakati next life jamaa atazaliwa kukuRIP yadav someday will meet in our next life. Maybe you'll tell me the egg story
Rest in peace grandpa😢