Mayai ya Kwale

mkuu tawary ... hebu tutafutie mkuu kitomari2 umlete atupe utaalam wake ... huyu bwana yupo vizuri sana kwenye poultry
Mkuu mimi ushauri wangu bado ni ule ule, Hata Namanga upande wa Tz kuna jamaa anao wengi tu ila naye ni kiwiziwizi tu, na kwa sababu jamaa walisema vibari vinatolewa kwa comercial pekee lets fight, hii ya kufaga kienyeji haina maana, na ukitaka mayai njoo arusha nikupeleke Nairobi uchukue. Jana nilikuwa niliingia mahari fulani na nikajaribu kugusia hiyo kitu kwa kweli nilipata picha nyimgine kuhusu hawa ndege.
Ukitaka kufuga kama kanga poa, ila hata kanga huwezi wabeba kwa wingi na kuwasafirisha.
Tatizo la kuandaa proposal liko wapi? Kama ni proposal tu na sapoting docoment sio kazi, labda wao wakatae ingawa bado naamini hawawezi kataa.

Nikiwa ofisi za Za antpouching Kanda ya kaskazini kuna mambo mengi nilielezwa. Na kwa sasa unaweza ona kibari si ishu ila baadae ukaja kugharamika sana,
 

Tatizo Iringa mbali, kuna kwale sana.
 

mkuu. Chasha .... kuhusu Kibali nakubaliana na wewe kabisa

mimi ninachotaka ni pa kuanzia ... starting point, ili iwe ni changamoto ya uhalisia wa upatikanaji , ufugaji na uzalishaji wa kware kabla ya kupata kibali rasmi ... hivyo basi risk ya kuwafuga hawa kware visivyo rasmi lazima iwepo nana pia kuichukulia tahadhari
 
mkuu tawary ... hebu tutafutie mkuu kitomari2 umlete atupe utaalam wake ... huyu bwana yupo vizuri sana kwenye poultry

nahisi watu wengi wanaogopa kusema wanakware kutokana na hii inshu ya kibali tu kitomari njoo tujuze nasisi pia mkuu
 

Nenda Wilaya mpya ya Chemba (zamani Kondoa) Kijiji cha Kelema huko watakuelekeza wanapowatoa, sio mbali. Kuna vijana mwaka mzima wanauza nyama ya Kwale. Wenyewe wanasema kuna nyakati wanakuwa wengi wanaharibu mazao yao na serikali inatoa kibali cha kuwaua.

Ndiyo maana niliposoma hapa kwamba ni vigumu kupata kibali nilishangaa!!
 

mkuu platozoom .... Nashukuru sana kwa info ... sasa nimepata pa kuanzia
 

Mkuu nazungumzia Certficate of ownership, vibali viko vya aina nyingi, hata vya kuwinda ni tofauti na vya kumiliki.
 
Hivi wakuu hawa ndege wana specific mikoa wanayoipendelea au ni mradi maporini?je kwa Mkoa wa Morogoro kuna anaeweza kujua wanapatikana kwa wingi sehemu gani?
 
Mkuu wewe unataka mayai au kware wenyewe, kama ni kware itakuwa vigumu kuwafuga na kware kawaida hawataki shida,wanakufaga katika mazingira ya kutatanisha,
Ndege wanatofautiana maeneo ya kuishi, kuna ndege unaweza wakuta Ngorongoro pekee au ukawapata Kilimanjaro tu. Na wapo wanaopatikana kote
 

Mkuu me nataka mayai nitotoreshe then nifuge,au kama ni vifaranga nadhani nayo si mbaya,kuliko kusema kukamata wa porini,nadhani hawatofugika hawa!Asante kwa somo juu ya ndege!ila nahisi bila shaka kwa hawa quails watakua wanapatikana katika mapori mengi katika mikoa tofauti hapa nchini!
 

Mkuu sasa fanya hivi, mimi ngoja nifuatilie then tuwasiliane utapata mayai, Jana yenyewe nilikuwa huko Kenya kwa kweli wao wanafuga bila shida hadi Mbuni tena Mbuni ndo Balaa, kabisa, Huku ukifikiria kufuga Mbuni watu wataishia kukushangaa na kukuona Mchawi, Hii ndo Tanbzania, ila Ujamaa ni mfumo mbaya sana
 

Nashukuru mkuu!wewe fuatilia basi alafu tupeane feedback!
 
Yanatibu tatizo la upungufu wa nguvu za Kiume
 
Ha ha ha Mkuu usiwafanye watu waanze kuyasaka kwa udi na uvumba!ila ni kweli kwa nchi zilizoendelea wanayatumia kama tiba ya baadhi ya vitu

Mkuu si Nchi zilizo endelea tu ni kwa Nchi zote mayai yake ni tiba sana na that is why yanauzwa bei zaidi ya mayai ya kuku, Ukienda Kenya Supermarket zao yapo na ynauzwa bila tatizo kabisa, Ishu iko huku Bongo, tunaviongozi ambao ni very Conservative
 
Mkuu si Nchi zilizo endelea tu ni kwa Nchi zote mayai yake ni tiba sana na that is why yanauzwa bei zaidi ya mayai ya kuku, Ukienda Kenya Supermarket zao yapo na ynauzwa bila tatizo kabisa, Ishu iko huku Bongo, tunaviongozi ambao ni very Conservative

Sio kua ni ma conservative tu,nadhani na ni primitive pia!wenzetu wanapiga step foward kwa mambo ya msingi,sisi viongozi wanabaki na propaganda,ubinafsi,kkandamiza na kunyima fursa wananchi!bado tuna kazi kubwa sana,taifa letu kama taifa kufikia malengo na mafanikio,bado tuko gizani sana tu!
 

Ni vigumu sana kwa Sisi kuendelea, Nakumbuka siku nimeena kuulizi kibari cha hao ndege wafany kazi walishangaa sana kusikia eti kware anafugwa kwao ni maajabu na kusema ni kitu hakiwezekani, wlisha zoe kuona kanga tu,

Wakati wenzetu wanafuga hadi Mbuni na wana mashine kabisa za kuangua mayai ya Mbuni, Ukipeleka Proposal ya kufuga mbuni ndo watasangaa milele,

Nashindwa kuelewa kama hata hao viounzi wana tmeea mitandao kagalia wenzetu wanafaya nini,
 


Ngoja na mimi siku nikaombe kibali cha kufuga bullfrog (spelling) nione watasema nini. Maana nchi yetu ni ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…