CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mkuu mimi ushauri wangu bado ni ule ule, Hata Namanga upande wa Tz kuna jamaa anao wengi tu ila naye ni kiwiziwizi tu, na kwa sababu jamaa walisema vibari vinatolewa kwa comercial pekee lets fight, hii ya kufaga kienyeji haina maana, na ukitaka mayai njoo arusha nikupeleke Nairobi uchukue. Jana nilikuwa niliingia mahari fulani na nikajaribu kugusia hiyo kitu kwa kweli nilipata picha nyimgine kuhusu hawa ndege.mkuu tawary ... hebu tutafutie mkuu kitomari2 umlete atupe utaalam wake ... huyu bwana yupo vizuri sana kwenye poultry
Ukitaka kufuga kama kanga poa, ila hata kanga huwezi wabeba kwa wingi na kuwasafirisha.
Tatizo la kuandaa proposal liko wapi? Kama ni proposal tu na sapoting docoment sio kazi, labda wao wakatae ingawa bado naamini hawawezi kataa.
Nikiwa ofisi za Za antpouching Kanda ya kaskazini kuna mambo mengi nilielezwa. Na kwa sasa unaweza ona kibari si ishu ila baadae ukaja kugharamika sana,