Duuu huu uzi kila siku nilikua naupita kumbe mtamu hivi
Mkuu ili jukwaa la ujasiriamali lina mambo matamu sana,mimi humu JF nilikua mnazi mkubwa wa jukwb la siasa,ila tokea nilipotumbukia kwenye jukwaa ili,kule kwenye jukwaa la siasa nimekua nachungulia mara mojana kutoka!
Wadau na mimi nimebahatika kuwapata hawa ndege,kuna mdau anawafuga amenipatia sita kwa majaribio!ngoja nione mwendo wao alafu nitawapa feedback
Kwale na mayai yake yanapatikana kwenye maonyesho ya nanenane Morogoro. Mimi nimenunua mayai leo.
sh.3,000@Mkuu umenunua Bei gani ... ?
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.Mkuu Eberhard hii 3,000/= ni kwa yai moja au?kuna wadau wapo Dar wao wanauza 20,000/= kwa tray!contacts zake ni 0713784634, 0784784634 na 0713670026
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.
Mkuu Kubota
Well said, hii kitu ni very potential, masoko hapa kwetu yapo lakini yapo in a concealed condition yaani hayapo wazi kwa minajili kwamba huwezi kujitangaza na wanunuzi kununua kwa siri kwani serikali inahitaji uwe na kibali cha kufuga, kware ni wild birds hivyo ni nyara za serikali
tunahitaji nguvu ya pamoja kushirikiana kupanua wigo ili kufanikisha
Kazi imeshaanza mkuu Kubota, kuna nuru inayongaa inaonekana katika venture hii, ni project ambayo cost yake ni almost very low compared to returns, just imagine 1kg of feed mash inaweza kulisha kware 65 kwa siku, kware hutaga mayai hadi 280 kwa mwaka continuos skipping in some dare days, space yakufuga ni ndogo sana , kware 250-300 kwa eneo la ukubwa wa 4'x8'x 1' height
more to come
Ni kweli Mkuu mimi niliwahi kukutana na watu si chini ya 5 Arusha na wako toyai kununua but kwa condition nilazima uwe na kibali cha kuwakamata na kuwafuga na kuwauza nani lazima uwape photocopy ya hicho kibali ili likitokea l kutokea wanaweza kujilinda,
Masoko yapo na kuna Mzugu mmoja huwa anaagiza South Africa kwa kibali na alisema yuko tiayai ku buy kwa kiwango chochote kile but vibari ni ishu
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.
Hivi hata kibali cha kuwaagiza nje hawa ndege na kuwafuga ni issue? Mbona serikali yetu ina urasimu hivyo?
Mkuu Sibayi, urasimu huu wa serikali unaturudisha nyuma sana ingawa in other way round unaleta changamoto na kufanya mbinu mbadala zifanyike, kazi ya ufugaji imeshaanza na biashara inaendelea hayo mengine ya kuwategemea wanasiasa waliokaa kwenye maofisi kama mabwanyenye yasitufunge jitihada zetu
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.
Mkuu Wangu Kubota nadhani wadau wenzetu Chasha na Coturnix wamenisaidia kujibu suala ulilokua unahitaji kupata mwanga kidogo...viongozi wetu ni wa ajabu sana,urasimu na kauli mbiu bila utekelezaji ndicho wanachotekeleza,ila hatutakiwa kua kimya,ni lazima tupaze sauti kwa pamoja,ili wajitambue na kuweza kuondoa urasimu na kupanua wigo kwa Watanzania kunufaika na rasilimali zetu...sheria kandamiza kwa watanzania juu ya kunufaika na rasilimali zetu,huku wenzetu wakinufaika nazo zitatufikisha pabaya!hauwezi promote kilimo kwanza kinadharia tu majukwaani huku kimatendo hakuna kitu ni ukichaa,hv kulikua na tija gani kuagiza mchele kitumbo toka Thailand tani kibao huku mchele wa wakulima wadogo wa Kitanzania ukikosa soko na wakulima kuzidi kua kati hali ngumu ya kimaisha?alafu tunadanganywa eti kilimo kwanza kitamnyanya mkulima wa Kitanzania wakati wanasiasa hao hao ndio wanajitahidi kumkandamiza mkulima
Mkuu acha kuamsha hasira zilizo lala eti Tanzania inaagiza chakula toka nje wakati tuna Ardi kubwa sana tu hii nchi ina viongozi sijui toka sayari gani hovyooooo kabisaaaaaa