Mayai ya Kwale

Mayai ya Kwale

Duuu huu uzi kila siku nilikua naupita kumbe mtamu hivi

Mkuu ili jukwaa la ujasiriamali lina mambo matamu sana,mimi humu JF nilikua mnazi mkubwa wa jukwb la siasa,ila tokea nilipotumbukia kwenye jukwaa ili,kule kwenye jukwaa la siasa nimekua nachungulia mara mojana kutoka!
 
Ni kweli mkuu huku ndo kila Kitu kule huwa tunapita kupunguza stress tu
 
Wadau na mimi nimebahatika kuwapata hawa ndege,kuna mdau anawafuga amenipatia sita kwa majaribio!ngoja nione mwendo wao alafu nitawapa feedback
 
Mkuu Hongera, Ila mimi nakomaa na Proposal na mpaka sasa nilisha wapatia watu wa Mali Asili hapa Arusha waipitie kwanza B4 Sija edit kwa mara ya mwisho na kuisabimit, Dar mwezi huu mwishoni, nataka nione hatima yakemkuu kwa sababu hata jamaa wanao nunua bila wewe kuwa na kibari hawawezi chukua mzigo kwako kamwe,
 
Wadau na mimi nimebahatika kuwapata hawa ndege,kuna mdau anawafuga amenipatia sita kwa majaribio!ngoja nione mwendo wao alafu nitawapa feedback

Mkuu, naomba tuwasiliane, nahitaji kumi kwa gharama peyote
 
Kwale na mayai yake yanapatikana kwenye maonyesho ya nanenane Morogoro. Mimi nimenunua mayai leo.
 
sh.3,000@

Mkuu Eberhard hii 3,000/= ni kwa yai moja au?kuna wadau wapo Dar wao wanauza 20,000/= kwa tray!contacts zake ni 0713784634, 0784784634 na 0713670026
 
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.
 
Mkuu Kubota

Well said, hii kitu ni very potential, masoko hapa kwetu yapo lakini yapo in a concealed condition yaani hayapo wazi kwa minajili kwamba huwezi kujitangaza na wanunuzi kununua kwa siri kwani serikali inahitaji uwe na kibali cha kufuga, kware ni wild birds hivyo ni nyara za serikali

tunahitaji nguvu ya pamoja kushirikiana kupanua wigo ili kufanikisha

Kazi imeshaanza mkuu Kubota, kuna nuru inayongaa inaonekana katika venture hii, ni project ambayo cost yake ni almost very low compared to returns, just imagine 1kg of feed mash inaweza kulisha kware 65 kwa siku, kware hutaga mayai hadi 280 kwa mwaka continuos skipping in some dare days, space yakufuga ni ndogo sana , kware 250-300 kwa eneo la ukubwa wa 4'x8'x 1' height

more to come
 
Ni kweli Mkuu mimi niliwahi kukutana na watu si chini ya 5 Arusha na wako toyai kununua but kwa condition nilazima uwe na kibali cha kuwakamata na kuwafuga na kuwauza nani lazima uwape photocopy ya hicho kibali ili likitokea l kutokea wanaweza kujilinda,

Masoko yapo na kuna Mzugu mmoja huwa anaagiza South Africa kwa kibali na alisema yuko tiayai ku buy kwa kiwango chochote kile but vibari ni ishu
 
Hivi hata kibali cha kuwaagiza nje hawa ndege na kuwafuga ni issue? Mbona serikali yetu ina urasimu hivyo?
 
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.

Mkuu Kubota, ni kweli kwa Kenya ufugaji wa Kware ni mkubwa sana na kuna wafugaji wana move kutoka kwenye kufuga kuku na kwenda kufuga Kware, na si Kware tu Kenya Mbuni wanafugwa sana na Mayaiyake has eggs shell ni ghari sana.

Kwa kenya KWF- Keny wildlife Service wana kitengo kabisa cha kuwasaidia watu kufuga hawa Kware na kutoa usidizi pale inapo hitajika,

Mkuu kwa Tanzania kupata Kibali cha kuwafuga ni sawa na kutafuta kibali cha kumilki Duka la kuuza Bunduki, kunamlolongo wa Kufa mtu, na Tatizo kubwa kabisa kuliko lote ni kwamba Wizara ya Mali Asili wameweka katika kundi moja wabongo na wazugu, katika kutafuta kibali, procedure ni the same kwa wageni na Wazawa n ukiangalia automatically wageni wataweza,

Ila Mkuu Kuna jamaa angu yuko Lindi ndo alitoa wazo jipya la jinsi ya kupata kibali na ndo tunafanyia kazi na kuna Docoment wanahitaji kutoka Kenya ndo tunazisubili zije and then tuendelee, hivyo ikifanikiwa nitawaalifu

Hivi hata kibali cha kuwaagiza nje hawa ndege na kuwafuga ni issue? Mbona serikali yetu ina urasimu hivyo?

Mkuu Sibayi, urasimu huu wa serikali unaturudisha nyuma sana ingawa in other way round unaleta changamoto na kufanya mbinu mbadala zifanyike, kazi ya ufugaji imeshaanza na biashara inaendelea hayo mengine ya kuwategemea wanasiasa waliokaa kwenye maofisi kama mabwanyenye yasitufunge jitihada zetu
 
Kiukweli viongozi wa nchi yetu wamekosa ubunifu na dira kabisa,wamebaki kua wabinafsi kwao na their families!nadhani sisi kama Watanzania inabidi tupambane sana ili kuweza kubadili mindset za hawa watawala wetu na hata wale Watanzania wengine waliolala!kuendelea kunyamaza na kuamini maamuzi ya wanasiasa ni sahihi ndio tutaendelea kudidimia kwenye umaskini,ni bora kuwapazia sauti ili akili zao zifunguke!nchi yetu ina kila fursa lakini tunazidi kua maskini kutokana na urasimu,kutokua na ubunifu toka kwa viongozi wetu,wao wenyewe kutojitambua ni fursa gani hasa kama taifa tunahitaji kunufaika nazo!hizi kauli mbiu mara sijui kilimo kwanza,mara sijui vile bila utekelezwaji taifa litazidi kua taifa linalodidimia!wenzetu Wakenya ni wepesi wa kuzitumia fursa japo hawana fursa nyingi kama zetu!imagine serikali yao inawa support katika ufugaji wa ndege kama Kware na mbuni,huku kwetu ni urasimu tu!tena masharti ni magumu kweli kweli kwa Mtanzania wa kawaida kuweza kunufaika na fursa zilizopo nchini mwake,kuliko uwepesi wa foreigner kufaidika na rasilimali za Tanzania!wana
 
Mkuu 1800 wenzetu Kenya ufugaji wa kwale umeshamiri sana na wafugaji wanasema kwao soko siyo tatizo kabisa, wanahamasishana waongeze uzalishaji kukidhi soko kubwa la ndani, na Wizara yao ya mambo ya maliasili na wanyamapori inatoa ushirikiano mkubwa kwa wanaotaka kufuga. Huu ni ufugaji mbadala. Hiyo bei uliyoandika mkuu ni ya uhakika? Soko kwa ujumla lipo Tz? Ninamaanisha mwamko wa matumizi ya mayai ya kwale upo? Naomba wadau tushirikiane kujulishana uwepo wa soko hili maana mradi wowote endelevu lazima ujihakikishie soko kwanza. Kwa vile wanaJF tumesambaa kila kona tujulishane iwapo hii kitu inaweza kuuzika tuingie chakani kazi ianze kwa nguvu.

Mkuu Wangu Kubota nadhani wadau wenzetu Chasha na Coturnix wamenisaidia kujibu suala ulilokua unahitaji kupata mwanga kidogo...viongozi wetu ni wa ajabu sana,urasimu na kauli mbiu bila utekelezaji ndicho wanachotekeleza,ila hatutakiwa kua kimya,ni lazima tupaze sauti kwa pamoja,ili wajitambue na kuweza kuondoa urasimu na kupanua wigo kwa Watanzania kunufaika na rasilimali zetu...sheria kandamiza kwa watanzania juu ya kunufaika na rasilimali zetu,huku wenzetu wakinufaika nazo zitatufikisha pabaya!hauwezi promote kilimo kwanza kinadharia tu majukwaani huku kimatendo hakuna kitu ni ukichaa,hv kulikua na tija gani kuagiza mchele kitumbo toka Thailand tani kibao huku mchele wa wakulima wadogo wa Kitanzania ukikosa soko na wakulima kuzidi kua kati hali ngumu ya kimaisha?alafu tunadanganywa eti kilimo kwanza kitamnyanya mkulima wa Kitanzania wakati wanasiasa hao hao ndio wanajitahidi kumkandamiza mkulima
 
Mkuu acha kuamsha hasira zilizo lala eti Tanzania inaagiza chakula toka nje wakati tuna Ardi kubwa sana tu hii nchi ina viongozi sijui toka sayari gani hovyooooo kabisaaaaaa
 
Mkuu kwa kweli Watanzania sijui tuna laana au nini!haingii akilini kwa nchi kama Tanzania kuagiza chakula toka nje wakati karibu zaidi ya nusu ya ardhi yetu ni yenye rutuba na inakubali mazao mengi!tuna maziwa,bahari,mito kibao lakini wananchi walao samaki na kupata maji ya uhakika hawazidi hata nusu ya Watanzania wote!tuna ng'ombe,kuku na mbuzi wa kutosha lakini maziwa tunaagiza kutoka nje!tumeua viwanda kwa uroho na ubinafsi wetu,tunategemea nchi iinuke kiuchumi kupitia kwa waendesha boda boda,tumehujumu atcl ili shirika binafsi lifaidike,nchi haina shirika lake la ndege!tumehujumu central railway ili magari yetu ya mizigo yaweze fanya biashara!mi nadhani hizi ni laana!misingi ya nchi imeharibiwa vibaya mno
 
Back
Top Bottom