Mkuu Kubota
Well said, hii kitu ni very potential, masoko hapa kwetu yapo lakini yapo in a concealed condition yaani hayapo wazi kwa minajili kwamba huwezi kujitangaza na wanunuzi kununua kwa siri kwani serikali inahitaji uwe na kibali cha kufuga, kware ni wild birds hivyo ni nyara za serikali
tunahitaji nguvu ya pamoja kushirikiana kupanua wigo ili kufanikisha
Kazi imeshaanza mkuu Kubota, kuna nuru inayongaa inaonekana katika venture hii, ni project ambayo cost yake ni almost very low compared to returns, just imagine 1kg of feed mash inaweza kulisha kware 65 kwa siku, kware hutaga mayai hadi 280 kwa mwaka continuos skipping in some dare days, space yakufuga ni ndogo sana , kware 250-300 kwa eneo la ukubwa wa 4'x8'x 1' height
more to come