CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kiukweli viongozi wa nchi yetu wamekosa ubunifu na dira kabisa,wamebaki kua wabinafsi kwao na their families!nadhani sisi kama Watanzania inabidi tupambane sana ili kuweza kubadili mindset za hawa watawala wetu na hata wale Watanzania wengine waliolala!kuendelea kunyamaza na kuamini maamuzi ya wanasiasa ni sahihi ndio tutaendelea kudidimia kwenye umaskini,ni bora kuwapazia sauti ili akili zao zifunguke!nchi yetu ina kila fursa lakini tunazidi kua maskini kutokana na urasimu,kutokua na ubunifu toka kwa viongozi wetu,wao wenyewe kutojitambua ni fursa gani hasa kama taifa tunahitaji kunufaika nazo!hizi kauli mbiu mara sijui kilimo kwanza,mara sijui vile bila utekelezwaji taifa litazidi kua taifa linalodidimia!wenzetu Wakenya ni wepesi wa kuzitumia fursa japo hawana fursa nyingi kama zetu!imagine serikali yao inawa support katika ufugaji wa ndege kama Kware na mbuni,huku kwetu ni urasimu tu!tena masharti ni magumu kweli kweli kwa Mtanzania wa kawaida kuweza kunufaika na fursa zilizopo nchini mwake,kuliko uwepesi wa foreigner kufaidika na rasilimali za Tanzania!wana
Mkuu ni kweli, kabisa, mimi nakumbuka siku ya kwanza nilivyo enda ofisi za ant pouching Arusha ku introduce hii ishu ya Kwale, kuna watu walinishangaa sana, jamaa walishangaa sana kusikia kwale wana fugwa, sasa ni kajiuliza ningewaambia nataka kufuga Mbuni ingekuwaje?