Mayai ya Kwale

Mayai ya Kwale

Kiukweli viongozi wa nchi yetu wamekosa ubunifu na dira kabisa,wamebaki kua wabinafsi kwao na their families!nadhani sisi kama Watanzania inabidi tupambane sana ili kuweza kubadili mindset za hawa watawala wetu na hata wale Watanzania wengine waliolala!kuendelea kunyamaza na kuamini maamuzi ya wanasiasa ni sahihi ndio tutaendelea kudidimia kwenye umaskini,ni bora kuwapazia sauti ili akili zao zifunguke!nchi yetu ina kila fursa lakini tunazidi kua maskini kutokana na urasimu,kutokua na ubunifu toka kwa viongozi wetu,wao wenyewe kutojitambua ni fursa gani hasa kama taifa tunahitaji kunufaika nazo!hizi kauli mbiu mara sijui kilimo kwanza,mara sijui vile bila utekelezwaji taifa litazidi kua taifa linalodidimia!wenzetu Wakenya ni wepesi wa kuzitumia fursa japo hawana fursa nyingi kama zetu!imagine serikali yao inawa support katika ufugaji wa ndege kama Kware na mbuni,huku kwetu ni urasimu tu!tena masharti ni magumu kweli kweli kwa Mtanzania wa kawaida kuweza kunufaika na fursa zilizopo nchini mwake,kuliko uwepesi wa foreigner kufaidika na rasilimali za Tanzania!wana

Mkuu ni kweli, kabisa, mimi nakumbuka siku ya kwanza nilivyo enda ofisi za ant pouching Arusha ku introduce hii ishu ya Kwale, kuna watu walinishangaa sana, jamaa walishangaa sana kusikia kwale wana fugwa, sasa ni kajiuliza ningewaambia nataka kufuga Mbuni ingekuwaje?
 
Mkuu Sibayi, urasimu huu wa serikali unaturudisha nyuma sana ingawa in other way round unaleta changamoto na kufanya mbinu mbadala zifanyike, kazi ya ufugaji imeshaanza na biashara inaendelea hayo mengine ya kuwategemea wanasiasa waliokaa kwenye maofisi kama mabwanyenye yasitufunge jitihada zetu

Mkuu unacho sema ni sahihii but huwezi fanya biashara kubwa bila kibali ni ngumu ia kufuga kwa substance haina shida ingawa nayo ni ishu, ila huwezi uza kwenye mahoteli a uka export bila kibali
 
Mkuu unacho sema ni sahihii but huwezi fanya biashara kubwa bila kibali ni ngumu ia kufuga kwa substance haina shida ingawa nayo ni ishu, ila huwezi uza kwenye mahoteli a uka export bila kibali

Mkuu yaani tuna changamoto kubwa sana kutokana na urasimu uliopo,jana nimesoma sehemu Kinana anasema kua nchi yetu hatustahili kua maskani kiasi hiki kutokana na fursa zilizopo ila urasimu uliopo kwa watendaji ndio unaosababisha umaskini!nikagundua kumbe hata wao wanajua kua kuna urasimu mkubwa,sasa kama wao ndio chama kilichoshika dola,kwa nini kisiwawajibishe wale wote wenye urasimu na wale wote ambao hawana ubunifu lakini wapo sehemu zenye uhusiano wa moja kwa moja na fursa zitakazomkwamua Mtanzania na kuweka watu wenye kujua nini maana ya kumsaidia Mtanzania kutumia fursa?sasa kama Kinana analalamika urasimu na sisi tunaoangushwa na huo urasimu tufanyaje?au ndio kutuzuga tu ili kuonekana tu kitu kimoja wakati si kweli?lakini dawa ni kutokukata tamaha na kupambana vilivyo na hizo changamoto na urasimu wao,maana kukata tamaha ndio kosa kubwa katika maisha!kikubwa nashukuru muamko wa Watanzania juu ya umuhimu wa mayai ya kwale wameanza kuujua,wengine wana google na kupata ukweli juu ya ilo!kuna mdau wangu kwa kweli ana tray za kutosha tu na wateja wanaongezeka siku baada ya siku,taratibu soko la ndani kwa kweli linaanza kutanuka,tutauziana kwanza wenyewe mtaani kwa mtaani mpaka hapo watakapo amka hao ma bwana wakubwa wanaojiona wao ndio miungu watu kwa kukalia vibali,na kujigundua kua they are wrong na kuanza kuwaruhusu watu ku export nje!kila kitu jamani eti tujifunze kwa Wakenya??inasikitisha sana
 
Mkuu ni kweli Tatizo ni u conservatism viongozi walio nao, hao wakina kinana ni wasanii tupu kama viongizi nao wanalalamika unategemea nini?
 
Mkuu ni kweli, kabisa, mimi nakumbuka siku ya kwanza nilivyo enda ofisi za ant pouching Arusha ku introduce hii ishu ya Kwale, kuna watu walinishangaa sana, jamaa walishangaa sana kusikia kwale wana fugwa, sasa ni kajiuliza ningewaambia nataka kufuga Mbuni ingekuwaje?

Mkuu nilishawahi andika hapa kwamba tukiwa ndani ya nchi watanzania tunajipiga kifua kwamba tunajua mengi na tuko juu! Ukiingia kwenye anga la kimataifa unagundua kuwa Tanzania ni giza totolo kuliko tunavyodhania. Nimejifunza mengi sana kupitia Kenya!! Kenya wako hatua nyingi sana mbele kuliko sisi! Wamenakili teknolojia nyingi sana kutoka mataifa ya mbali nakuzichakachua zikalingana na mazingira yao. Wanatumia fursa mbali mbali ipasavyo! Sasa iwapo wenye fani ya wanyamapori wenyewe hawajui wanyama wanaofugika na ambao wametoa ajira sehemu zingine duniani ni kichekesho !! Tunajidai sana lakini hatuna lolote, kila mmoja ahangaike kivyake tu hadi jua litakapotua lakini kama nchi tusitegemee chochote for the near future! Tulishapotezwa mwelekeo tuliporogwa na waliodhania dunia inaweza kuendelea kwa socialism!!
 
Mkuu ni kweli kabisa jamaa wanatuzidi kila idara na wange kuwa na ardhi na rasilimali kama zetu wangekuwa wanatafutana na south Africa, mkuu jitahidi siku moja uende hata NAIVASHA kuliko na kituo kikuu cha utafiti wa kilimo na mifugo, kwa kweli jamaa wako mbali n sijui Tanzania kama tunacho, kweli, KARI Naivasha kuna kila kitu, Kuku wa kutisha, Mbuzi, Sungura, No'ombe wanao toa hadi lita 40 kwa siku, Kondoo, kila aina ya nafaka.

Hii nchi tumelizika san wewe fikilia hadi mkuu wa nchi ana lalamika wewe unategemea nini kwa watu wa chini? Viongozi hawana vision, nashindwa kuelewa huko Nje wanaendga kujifunza nini? au ndo ile ya kuangalia tumbo zao, Niliwahi kushangaa sana kusikia kamba unakuta shirika kama TANAPA kwenye maonyesho ya utalii wa Dunia badala ya kupeleka watu Profesion wao utakuta ameenda engenear wa Shirika, mala Mhasibu mkuu wa shilika, mkuu hapo unategemea nini?

some time inauma sana, na kusikitisha sana kuona viongozi wetu wanavyo turudisha nyuma, nakumbuka nilisha wahikundika email wizara ya Mifugo na hiyo wizara ya Mali asili, mpaka leo na kesho sijawahi jibiwa mkuu, Hebu jaribu kuwaandikia wizra ya Ulatalii ya keny uone unajibiwa saa hiyo hiyo hata kama ni usiku, jamaa wana manisha,

Mkuu ndo hivyo

Mwenye mayai Dar please.

Hivi ofisi za mali asili ziko wapi kwa Dar?
 
Hawaruhusiwi kufugwa hawa.

Ndugu wewe endelea na mawazo hayo tu badala ya ku consider vitu in a positive way,hata kanga pia ni kama kwale,ila mbona wanafugwa na wanauzwa wao pamoja na mayai yao mpaka pembezoni mwa barabara?umewahi sikia mtu kahukumiwa kwa kufuga kanga?kwale siku hizi watu wameanza kuwafuga kwa kasi baada ya kujua faida yake,ila ku export hapo ni issue,hauwezi kuwa export bila kibali
 
vikwazo vingi tunajitengenezea kwa kutumia vibaya mchakato wa maamuzi.

Japo Kuna jamaa kasimamishwa kazi kwa kukutwa na Bata maji wawili; nafikiri ni porojo zao atakuwa na msala mwingine.

Mkuu una kwale watokao Japani/China?, nataka kuanza kufuga mwezi wa 3 nitahitaji mayai wiki ya pili mwezi wa pili.

Nikitanguliza Salaam.
 
Mkuu quail waliopo ni wa jamii ya Kijapan,na unaweza pata mayai ukitaka kuwekea kwenye incubator ili upate vifaranga kuna gharama yake pia,wewe ukiwa tayari nijulishe tu mkuu
 
Mkuu hawa Ndege ni wazuri na wananza kutaga wakiwa na umuri wa wiki 7, tu na wakiwa na wiki 5 unaweza uza mtu akaenda kula, na wanaatamiwa kwa only 18 day,

Ila Kuna baadhi ya inforamation nimezipata so ni ta ku PM make ni very nyeti sana, na hii ni kwa sababu wewe ndo mleta maada na mhitaji mkuu,

mkuu. Chasha huo unyeti tumwangie na sisi hizi mada ni wengi tunafatilia hapa jf please mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu quail waliopo ni wa jamii ya Kijapan,na unaweza pata mayai ukitaka kuwekea kwenye incubator ili upate vifaranga kuna gharama yake pia,wewe ukiwa tayari nijulishe tu mkuu

pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom