Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Wakiwa kwenye captivity watazaliana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiwa kwenye captivity watazaliana?
confirmed .... yes
nimeanza kutengeneza quail cage ..... nimepata jamaaa wa kenya ananiuzia quail chicks ... yeye anayo commercial quail farm .... ame confirm kwamba hao vifaranga wakikua watataga mayai ambayo ni fertilized then hatching is by incubator
Kwa Tanzania sasa, jana nilijaribu kufanya kautafiti maeneo fulani na na bado naendelea kukusanya maelezo na nitaya unganisha na niliyo tumiwa from Kenya jana, ili nije na maelezo kamili.
Hawa ndege vilevile wako wa aina nying
hivi hawa ndege pamoja na kanga wanaruhusiwa kufugwa bila kibali cha maliasili?
Nadhani ni TAUSI peke yake anayezuiliwa kufugwa
Mkuu wanahitaji Kibari tena kwa hawa Ndege usijaribu bila kibari, inawza kula kwako mazima, na hata kuwasairisha inahitaj kibali, unaweza mbiwa umewachukua hifadhini, utabisha vipi?
Mkuu maelezo yako yameshiba haswa,kweli JF ni kila kitu!naamini Watanzania tukiamua kupambana hasa na kutumia fursa zote zilizopo tuna uwezo mkubwa wa ku compete na majirani zetu katika anga za kimataifa!tunasubiri ng'we ya mwisho ya maelezo yako yaliyojitosheleza mkuu!
:laugh::laugh::laugh::laugh: NIMEZUNGUMZIA KUFUGA TU MKUU SIO KUWAFANYIA BIASHARA
bei ikoje kwa kifaranga mkuu?
Sisi watanzania tunashida sana kesho tutadangaywa tena tu kua mayai ya bundi yanatafutwa kwanini tusifuge kitu ambacho kesho ukipeleka sokoni hakimtesi mfugaji tutaiga mwishoe tutajuta tu maana uezi kukamata kware ukapeleka sokoni hp bongo watu watakushangaa
| Age Group | Total No of Quail Eggs | Total No of Days | 1st Day | 2nd Day | 3rd Day | From the 4th Day onwards |
| Adult | 240 | 49 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| Adult | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| 16-18 yrs | 120 | 25 | 3 | 3 | 4 | 5 |
| 11-15 yrs | 120 | 31 | 3 | 3 | 3 | 4 |
| 8-10 yrs | 90 | 30 | 3 | 3 | 3 | 3 |
| 4-7 yrs | 60 | 20 | 3 | 3 | 3 | 3 |
| 1-3 yrs | 60 | 30 | 2 | 2 | 2 | 2 |
| 3 months - 1 yr | 30 | 30 | 1 | 1 | 1 | 1 |
| Growth stimulation and metabolism improvement | 100eggs |
| Reactivate the nerves and central nervous system | 120eggs |
| For the elderly: Quail eggs have brilliant regenerative effects on the body therefore are recommended for the elderly. It can calm down and/or cure many diseases attributed to old age, deficiency or excess nutrients in the body. | |
| quail eggs help renewing the state of health and brings the body to equilibrium, combats the degenerative process and rejuvenates the body | 240eggs |
| revives memory and protects nerve cells | 120eggs |
| improves sexual potency | 120eggs |
| reinforces organs weakened by physical work or stress | 240eggs |
| fortifies the body | 240eggs |
| Allergy treatment: | |
| Asthma | 240eggs |
| Skin rash | 120eggs |
| Eczema conjunctivitis | 120eggs |
| Allergic rhinitis | 240eggs |
| Gastro intestinal tract disorder treatment: | |
| Gastric ulcers | 240eggs |
| Poor digestion | 120eggs |
| Excess secretions of stomach acids | 120eggs |
| Treatment of liver diseases: | |
| Improves organ functions | 240eggs |
| Treatment of Renal diseases: | |
| Improves organ functions | 240eggs |
| Treatment of heart diseases: | |
| Improves the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis | 240eggs |
| Treatment of circulatory diseases: | |
| anaemia | 240eggs |
| arterial hypertension | 240eggs |
| Treatment of metabolic diseases: | |
| gout | 240eggs |
| obesity | 240eggs |
| diabetes | 240eggs |
| Treatment of nervous diseases: | |
| neurasthenics | 240eggs |
| nervous state | 240eggs |
| Benefits of quail eggs during pregnancy and while breast feeding: | |
| The consumption of quail eggs fortifies the womans body during pre and post natal periods as well as after surgery and radiotherapy. It also has beneficial effects on the foetus (physical and mental balance) and for the mother after delivery (physical rehabilitation and rejuvenation of cells). Quail eggs also improve the quality of breast milk. | 240eggs |
| HIV, AIDS: | |
| The consumption of quail eggs by HIV AIDS patients improves CD4 | 240eggs |
Sikatai ila tukumbuke pia kuna mfugaji ambae anauezo wa kusafirisha nje je atawala ama atapeleka wp? Maana tunaongelea ujasirimali
Sikatai ila tukumbuke pia kuna mfugaji ambae anauezo wa kusafirisha nje je atawala ama atapeleka wp? Maana tunaongelea ujasirimali
Mkuu kitomari2
Kinachotazamwa hapa kwa jicho la tatu ni fursa/opportunity ..... inawezekana wewe mimi na yule hatujui lakini wapo wengine wanaojua soko kama mleta mada
sidhani kama ni dhambi kuthubutu kujaribu .... ukaanza kufuga kware kama hobbie halafu ukaendelea kutafiti soko na mambo mengine
uzoefu wako katika poultry unahitajika sana hapa especially kwenye technical part kama ulishaji, matibabu na matunzo mengine
wapo wana jf wengi wenye utaalam wa marketing wanaweza tussaidia kutafuta masoko .... tukiunganisha haya mambo yatakwenda mbele. ... kwanini wakenya watushinde sisi siku zote.... kwanini tushindwe kufuga viwanyama kama kware .... je tutaweza kufuga mbuni?
Mkuu kitomari2
Kinachotazamwa hapa kwa jicho la tatu ni fursa/opportunity ..... inawezekana wewe mimi na yule hatujui lakini wapo wengine wanaojua soko kama mleta mada
sidhani kama ni dhambi kuthubutu kujaribu .... ukaanza kufuga kware kama hobbie halafu ukaendelea kutafiti soko na mambo mengine
uzoefu wako katika poultry unahitajika sana hapa especially kwenye technical part kama ulishaji, matibabu na matunzo mengine
wapo wana jf wengi wenye utaalam wa marketing wanaweza tussaidia kutafuta masoko .... tukiunganisha haya mambo yatakwenda mbele. ... kwanini wakenya watushinde sisi siku zote.... kwanini tushindwe kufuga viwanyama kama kware .... je tutaweza kufuga mbuni?
mkuu ni kweli wenzetu wanafuga sana Mbuni na wananunuliwa sana, egg shell yake yenyewe ina soko la kufa mtu, ila bongo ndo kama hivyo,