CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Jamaa yangu Chasha kiswahili chako kina nikumbusha. Tarime na musoma!!
Manake unapenda sana kutumia herufi"R" Sehemu inapowekwa "L".
Teh teh teh teh!
Anyway! Turudi kwenye mada.
Hivo vibali vyoote ni kitu kidogo tu!
Unapata!
Pale wizara ya mifugo. Ukipeleka ugalatia wako! Wanakutoa baruti!!
Kata hio hela ya kula! Watu wafanye kazi.
Hakuna kibali ambacho hakijawahi kutoka!
Inategemea mfuatiliaji ni nani!!
Kuna jamaa mmoja pale wizarani.
jina namuhifadhi.
Kijana mweusi saana!.
Anapenda kunyoa panki kama kandabongoman! Hana cheo cha maana. Lakini balaa!
Ukimpa tenda ya kibali.!
Hata kibali cha kuwanyonyoa mbuni manyoa atakutolea! We hela yako tu!
Ni ushauri tu wa kitz. Nakupa.!!
Tena buuure! Malipo staki!
Mkuu ila kuna baadhi haviwezekani, mfano kibali cha kuiza mazao ya hawa ndege nje ya nchi nilazima katibu mkuu asaini, hapo utamtoa ngapi?
Mimi naamini mtu akifuta procedure atapata tu kibali,
Make hapa kuna kuliwa pesa tu na mimi nashauri ni bora mtu mwenyewe afuatilie. Na kuna vinavyo tolewa ngazi za chini hivyo haihitaji kwenda wizarani,
Last edited by a moderator: