Mayai ya Kwale

Mayai ya Kwale

ebwana vyura wana hela hao utakimbia! swala ni pata uhakika wa mtu wakunua kwanza france na nchi zingine halafu ndio uanze kufuga.
 
Quils ni best sana huku kwetu, tunafuga mwingi sana na watu wako wanapenda sana kula meat ya quils na tuko na permit ya kufuga kutoka KWS. Inaonekana kwa Tz mko na hamuluhusiwi kufuga
 
ebwana vyura wana hela hao utakimbia! swala ni pata uhakika wa mtu wakunua kwanza france na nchi zingine halafu ndio uanze kufuga.

Mkuu nini matumizi makubwa hasa ya hao vyura?
 
Wakuu nimepata information zingine na kwenye kesho naweza kuwapa full make bado hazijakamilika ziko nusunusu, Ila zitapatikana kwa PM tu na si vinginevyo
 
Me binafsi naisubiri PM yako kwa hamu mkuu!
 
Wakuu nimepata information zingine na kwenye kesho naweza kuwapa full make bado hazijakamilika ziko nusunusu, Ila zitapatikana kwa PM tu na si vinginevyo

Mkuu Chasha

Kama kawa nasubiri pm
 
Wana tumika vipi? Ila mimi nitajaribu na kibari cha Ndege Kasuku

Mkuu mbona hawa kware wapo sana upareni, na kuna kijiji flani maeneo ya mwanga kuna kijana 1 aliokotaga mayai kama 2000 ya kanga porini kwny viota tofauti tofauti, sasa na kanga wanamasoko sana pamoja na mayai yake?
 
Nazungumzia Ufugaji kibiashara, si zungumzii ufugaji wa Kijifurahisha mkuu, huwezi fuga kibiasara bila kuwa na vibali vya kufuga, Ok
 
Wakuu nimepata information zingine na kwenye kesho naweza kuwapa full make bado hazijakamilika ziko nusunusu, Ila zitapatikana kwa PM tu na si vinginevyo

Ni habari za kware sio?
 
Nazungumzia Ufugaji kibiashara, si zungumzii ufugaji wa Kijifurahisha mkuu, huwezi fuga kibiasara bila kuwa na vibali vya kufuga, Ok

naelewa ni wa kibiashara mkuu, me nauliza soko lake likoje maana unaweza kutafuta kibali ukapata then ukaambiwa sokoni bei yake ni mia200, ndio maana nikauliza sokoni wanauzwaje ili mtu ajue kama anafanya kitu cha aina gani.
 
Mkuu soko si ishu kwa sababu kuna watu watu niliongea nao, na kumbe huwa wanachukue Kenya ingawa na wao wanashangaa kwa nini bongo hawafugwi, ila hao si wa bongo.
Na si hao tu, so wewe tafuta kibali chako ukiwa nacho nitafute,

Thse are good news mkuu
 
Mkuu soko si ishu kwa sababu kuna watu watu niliongea nao, na kumbe huwa wanachukue Kenya ingawa na wao wanashangaa kwa nini bongo hawafugwi, ila hao si wa bongo.
Na si hao tu, so wewe tafuta kibali chako ukiwa nacho nitafute,

Mkuu hao watu hawaja kwambia bei yake kwa kila 1 au ndio siri ya kambi?
 
Duuu huu uzi kila siku nilikua naupita kumbe mtamu hivi
 
Back
Top Bottom