Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nimepata information zingine na kwenye kesho naweza kuwapa full make bado hazijakamilika ziko nusunusu, Ila zitapatikana kwa PM tu na si vinginevyo
Ni jamii ya vyura, kwa hapa Tanzania wanapatikana Mtwara. Soko lake kubwa liko France na mashariki ya mbali.
Wana tumika vipi? Ila mimi nitajaribu na kibari cha Ndege Kasuku
Mkuu mbona hawa kware wapo sana upareni, na kuna kijiji flani maeneo ya mwanga kuna kijana 1 aliokotaga mayai kama 2000 ya kanga porini kwny viota tofauti tofauti, sasa na kanga wanamasoko sana pamoja na mayai yake?
Wakuu nimepata information zingine na kwenye kesho naweza kuwapa full make bado hazijakamilika ziko nusunusu, Ila zitapatikana kwa PM tu na si vinginevyo
Ni habari za kware sio?
Ya ndo zenyewe
Nazungumzia Ufugaji kibiashara, si zungumzii ufugaji wa Kijifurahisha mkuu, huwezi fuga kibiasara bila kuwa na vibali vya kufuga, Ok
naelewa ni wa kibiashara mkuu, me nauliza soko lake likoje maana unaweza kutafuta kibali ukapata then ukaambiwa sokoni bei yake ni mia200, ndio maana nikauliza sokoni wanauzwaje ili mtu ajue kama anafanya kitu cha aina gani.
Mkuu soko si ishu kwa sababu kuna watu watu niliongea nao, na kumbe huwa wanachukue Kenya ingawa na wao wanashangaa kwa nini bongo hawafugwi, ila hao si wa bongo.
Na si hao tu, so wewe tafuta kibali chako ukiwa nacho nitafute,

Mkuu hao watu hawaja kwambia bei yake kwa kila 1 au ndio siri ya kambi?