Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
- Thread starter
- #21
Ndugu sio lazima kila thread ucomment kama huna wewe pita tu ni dalili fulani ya hekima
Mtakuja lishwa hata mayai ya nyoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakuja lishwa hata mayai ya nyoka
Hizo nutrients ulizipima? Kuna tabia ya watu siku hizi wakitaka kuuza products wataanza kuleta porojo mara zinaongeza nguvu za kiume mara zinaomgeza cd4 na bla bla kibao,contents za mayai ya kware hayana tofauti na mayai mengine ya kuku sema ya kware inayazidi kidogo,that means ukila mayai mawili ya kuku ni sawa kula yai moja la kware,kwanini ninunue yai moja la kwale kwa 1000 wakati nikinunua mawili ya kuku(kienyeji) kwa 500 napata nutrients zilizo sawa.
Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.
Asante
Kumbuka zamani hakukuwa na maradhi mengi kama sasa.
Hivyo ubunifu huu unatokana na shida tulizonazo
Ndugu naitaji kujua utaalam wa kuwafuga hawa mimi siitaji kula mayao nataka kuwafuga,nimewai tishwa kua hawa ukiwatotolesha siku 3 hawapo je nifanyeje ndipo nitafute hayo mayai