Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Mayai ya kware yanaendelea kuwasaidia watu wengi katika kujenga afya zao jaribu nawe uone tofauti katika maisha yako na familia yako
 
Mayai ya kware kutokana na Nutrients nyingi yaliyonayonayo kimejulikana kama moja ya chakula bora sana kwa maisha ya binadamu anapata vitu vingi sana kutoka kwenye yai dogo kuwa na nutrients 78 ambazo ni muhimu katika mwili wa bindamu pata leo wewe na familia yako uone tofauti.
 
nakumbuka jinsi watanzania walivyokulupuka na mafuta ya ubuyu, kila sehem ukienda mafuta ya ubuyu, kila familia mafuta ya ubuyu sasa yako0 wapi?
 
Ukweli utabaki ukweli na sayansi huwa haina upinzani kama kitu kinaleta result nzuri nafikiri ni hekima kuwajulisha wengine na uzuri wa chakula kizuri kila mtu anatamani kula.
 
Hizo nutrients ulizipima? Kuna tabia ya watu siku hizi wakitaka kuuza products wataanza kuleta porojo mara zinaongeza nguvu za kiume mara zinaomgeza cd4 na bla bla kibao,contents za mayai ya kware hayana tofauti na mayai mengine ya kuku sema ya kware inayazidi kidogo,that means ukila mayai mawili ya kuku ni sawa kula yai moja la kware,kwanini ninunue yai moja la kwale kwa 1000 wakati nikinunua mawili ya kuku(kienyeji) kwa 500 napata nutrients zilizo sawa.
 
Hizo Nutrient ndugu zilifanyiwa utafiti na United state Department of Agriculture (USDA) na hii hapa ndio link yake Show Foods
Sasa ukichukuwa na hiyo ya mayai ya kuku unayozungumzia unaweza kuona kabisa kuwa ya kuku hayana hizo nutrients 45 ambazo kwenye kware zipo na hapo ndipo inafanya mayai haya yawe bora angalia hiyo link hapo inayofanya mlinganisho huo
https://www.dropbox.com/s/x0sgmli1s29jcwx/Kwarevskuku.xlsx

Kwa habari zaidi za kitafiti unaweza kututembelea ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA
Ahsante na karibu

Hizo nutrients ulizipima? Kuna tabia ya watu siku hizi wakitaka kuuza products wataanza kuleta porojo mara zinaongeza nguvu za kiume mara zinaomgeza cd4 na bla bla kibao,contents za mayai ya kware hayana tofauti na mayai mengine ya kuku sema ya kware inayazidi kidogo,that means ukila mayai mawili ya kuku ni sawa kula yai moja la kware,kwanini ninunue yai moja la kwale kwa 1000 wakati nikinunua mawili ya kuku(kienyeji) kwa 500 napata nutrients zilizo sawa.
 
Mayai ya kware ni muhimu katika kuweka vyema afya ya familia yako yapate leo ni mazuri hasa kwa watoto katika kukuza na kuimarisha ubongo kama waswahili tunavyosema samaki mkunje angali mbichi kwa afya ya familia yako.
 
Mayai ya kwale ndiyo habari ya mujini
 
Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.
Asante
 
Kaka huoni kwamba ungetengeneza thread yako moja kwa moja engeukuwa rahisi na ungekuwa na chance ya kupata wateja wengi zaidi

Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.
Asante
 
Wadau iko hivi .

Mayai ya Kwale ni mazuri saana kwa Afya ...hii ni kweli .

Kama huamini ni vyema ukatafuta mtu ambaye kashayatumia kwa kufuata utaratibu wake na akushuhudie ni nn matomeo yake .

Kwa atayakaye hitaji kuyapata mayai haya kwa bei nafuu kabisaa Ya Tsh 15000/= Mayai 30 . kwa trei bei ambayo ni tofauti na wauzaji wengine .

Nipo Dar-es-salaam ..
Nitakupatia na formula/utaratibu maalumu wa kuyatumia mpaka dose iishe .

Karibuni saana kwa anayehitaji ataniPM .

Ahsenteni .
 
Kumbuka zamani hakukuwa na maradhi mengi kama sasa.
Hivyo ubunifu huu unatokana na shida tulizonazo

Ndugu naitaji kujua utaalam wa kuwafuga hawa mimi siitaji kula mayao nataka kuwafuga,nimewai tishwa kua hawa ukiwatotolesha siku 3 hawapo je nifanyeje ndipo nitafute hayo mayai
 
Hizo myth kaka hazikuwa sahihi ni kwamba kware wanatakiwa wafungiwe ndani ukiwafunguliwa wanaruka na kupotea ndio maana hiyo imani ikajijenga kuna watu wanaexport kama kware laki moja kila mwezi wangalie story yao katika Quail | Game Farm vifaranga nami ninavyo kama unapenda tuwasiliane Tshs 7,000 kwa wa wiki tatu

Ndugu naitaji kujua utaalam wa kuwafuga hawa mimi siitaji kula mayao nataka kuwafuga,nimewai tishwa kua hawa ukiwatotolesha siku 3 hawapo je nifanyeje ndipo nitafute hayo mayai
 
Mayai haya kwa kweli yameendelea kuonyesha kusaaidia katika kuimarisha ubongo hii inatokana kwa kipindi cha mwezi sasa kuna mteja wangu alikuwa na mama yake ambaye kutokana na uzee alianza kupoteza kumbukumbu cha ajabu hata jina lake alikuwa amemsahau kitu ambacho kilimuuma sana sasa akapata habari ya mayai haya akaanza kupelekea sasa ijumaa alikuja akaja kunieleza kuwa maendeleo ya mama yake ni makubwa mno sasa anawatambuwa watoto wake na mazingira yake kwa kiasi kikubwa, kweli hii sio dawa ni chakula bora ambayo inafanya kazi ya kurepair cell fikiria mtu wa miaka 80 na anapata uwezo wa kurudia je kwa watoto inatakuwa na impact gani ndio maana wajapani wanasisitiza sana mayai haya yapewe watoto na wanaume wa miaka zaidi ya 35
 
Kwa manufaa ya kuimarisha ubongo na kuimarisha kinga za mwili wa binadamu kutokana na nutrients zilizoko kwenye mayai haya pata kwa kuimarisha Afya ya familia yako
 
Naamini baada ya scientific validation kwamba chakula hiki ni moja ya chakula bora naomba tutumie chakula hiki kizuri kwa maisha ya binadamu
 
Back
Top Bottom