Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Mayai ya kware yamendelea kutoa nutrients bora kwa afya ya binadamu pata leo kwa familia yako mayai haya ni mazuri sana kwa watoto katika kuimarisha makuzi ya ubongo
 
Maya ya kware zaidi ya kuwa na nutrients zaidi ya 78 ambazo ni nzuri katika makuzi ya binadamu ni kitu cha kushangaza sana nutirients hizo kupatina katika yai ambalo lina gram 9 to 16 na inabaki kweli maarifa ya Mungu ni ya ajabu mno, ulitegemea kwenye mayai ya ndege wengine yangekuwa nayo ila unakuta mengine nutrients 45 haziko kabisa. Pata mayai haya kwa familia yako uone tofauti karibu.
 
Karibu sana na tuwaelimishe ndugu zetu na marafiki sio kwamba hiyo pekee ndio njia bali ni moja ya njia za kuimarisha afya na ambayo ni rahisi na inapatikana siku zote naupenda ule msemo wa kiswahili unasema bora kinga kuliko tiba

asante kwa elimu nzuri kuhusu mayai ya kware
 
Mayai ya kware ambayo ni mazuri kwa afya yako na familia yako hasa katika kuongeza kinga za mwili na kwa makuzi ya watoto sana yanapatikana ukihitaji kujua zaidi faida zake unaweza kutembelea page yetu ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA au tupigie simu number0788-318671. Bei Tshs 20,000 kwa tray.

Haina tofauti na uganga wa kienyeji au kama vile waganga wa kienyeji wanavyopotosha watu wanao taka utajiri wa haraka kwa kuagiza viuogo vya albino.
Toa scientific prove kwa support ya maelezo ya kusadikika.
Watanzania bwana kwa kudanganyika. Ndo maana ahadi kibao mnachagua viongozi wa siasa afu wakiwa madarakani wanapiga hela zenu kutoka kwenye kodi kwa familia zao badala ya kufanya maendeleo.

WATANZANIA PUNGUZA UJINGA TUMIA BUSARA KUPIMA WASANII
 
Mkuu kabla ya kuhukumu ungejaribu mwenyewe kufanya research. ...au hebu pitia hii link
http://www.ijsrp.org/research-paper-0513/ijsrp-p1729.pdf
 
Maabara hazipo za kuthibitisha hivyo virutubisho mnavyo dai, hapo ukikopi vya wenzako yawezekana origin ya hao ndege na vyakula wanavyo kula ni tofauti na hilo soko unalotangazia wateja. Muhimu ni kuonesha research yako kwa mazingira ya kula pumba kama hawa kuku wa kisasa wanavyo kula.
 
Kweli sisi hatutaacha kutafuta makosa kwenye hiyo page kuna ulinganisha ambayo ndio hiyo iliyotoka kwenye dropbox lakini kuna ya kware na kuku pekee yake inayotoka moja kwa moja kutoka site ya US Department of Agriculture hii hapa Show Foods

Uzuri wa sayansi sio siasa ni kitu chenye fact. Karibu
Hiyo link inatupeleka kwenye dropbox na si web page. Sasa tutapataje uhakika kuwa hiyo excel hujaiandaa wewe!
 
Naona umeamua kuwa mbishi kwa siku hizi vyakula hivi vyote vya kware viko online unachukuwa na kutengeneza au kama ukichukua ambacho kimetengenezwa unajua tu vyakula vyetu hapa vingi protein ni issue so unaongeza vitu kama soya ili kuongeza protein. Karibu tujifunze.

Maabara hazipo za kuthibitisha hivyo virutubisho mnavyo dai, hapo ukikopi vya wenzako yawezekana origin ya hao ndege na vyakula wanavyo kula ni tofauti na hilo soko unalotangazia wateja. Muhimu ni kuonesha research yako kwa mazingira ya kula pumba kama hawa kuku wa kisasa wanavyo kula.
 
Naona umeamua kuwa mbishi kwa siku hizi vyakula hivi vyote vya kware viko online unachukuwa na kutengeneza au kama ukichukua ambacho kimetengenezwa unajua tu vyakula vyetu hapa vingi protein ni issue so unaongeza vitu kama soya ili kuongeza protein. Karibu tujifunze.
Naomba kuuliza, kwale aliekomaa na anaefaa kuliwa hufikisha uzito kilo ngapi?
 
Haina tofauti na uganga wa kienyeji au kama vile waganga wa kienyeji wanavyopotosha watu wanao taka utajiri wa haraka kwa kuagiza viuogo vya albino.
Toa scientific prove kwa support ya maelezo ya kusadikika.
Watanzania bwana kwa kudanganyika. Ndo maana ahadi kibao mnachagua viongozi wa siasa afu wakiwa madarakani wanapiga hela zenu kutoka kwenye kodi kwa familia zao badala ya kufanya maendeleo.

WATANZANIA PUNGUZA UJINGA TUMIA BUSARA KUPIMA WASANII

Nimeahindwa kukigongea like sababu nqtumia simu. Jamaa ni kama Mganga wa kienywji huyu. Kajuaje hizo nutritional status za mayai ya kwale. Naomba pia anisaidie kujua, hayo mayai ya kwale anayatoa wapi? je anamfugaje huyo kwale tena DSM? WANANIUDHIGI SANA WATU WANAOPOTOSHA WENZAO.
 
Back
Top Bottom