Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

Kuna mmoja hapa yeye shida yake ni chai tu, hanywi kabisa wala hajaribu.

Juzi kanituma nikamtafutie maembe mabichi ila hali yeye, nakula mimi na yeye anaridhika jinsi yanavyofanya kwayuuu kwayuuu pale ninapotafuna.
 
Usijali hakika k ni cha kike hicho ndo maana mapenzi yamezidi from Mr. Angalieni, mnapokutana tena asiongeze sikio la 3.

Hivi mwisho wa mama kijacho kuliwa tunda ni miezi mingapi?

Ni style gani hushauriwa na wataalamu kuitumia wakati wa tendo?
 
Hivi mwisho wa mama kijacho kuliwa tunda ni miezi mingapi?

Ni style gani hushauriwa na wataalamu kuitumia wakati wa tendo?

Kama afya yake inaruhusu hata miezi 9 mnakulana

Kuhusu mikao, yeye kuikalia juu[emoji39]Au kiubavu kwa mikao mizuri zaidi unaweza kugugo then ile ambayo yeye anakua flexible ndio mkakulana kwa Hiyo mikao
 
Hivi mwisho wa mama kijacho kuliwa tunda ni miezi mingapi?

Ni style gani hushauriwa na wataalamu kuitumia wakati wa tendo?
Hata masaa kidogo kabla ya uchungu kuanza akijisikia hamu na mmewe ni ruksa. Staili nzuri ni kuja kiubavu mnaangaliana au mnakaa kama foleni. Ila acheni deep pene hii yaweza leta matatizo. Si wajua tena mifuko imetanuka sana hivyo ngozi kuwa nyembamba? Pia mtoto yupo karibu sana hivyo there is no comfort in deep pene
 
Samahani ila naomba Kuuliza Wakuu.....Wife ana miezi miwili kuelekea Mitatu, hizo mishe za kutapika na vi-hasira hasira ni kawaida japo kutapika ameanza kupunguza. Ila Tatizo kubwa anaumwa sana Tumbo hadi kuna saa namuonea huruma na kujiskia vibaya na kibaya zaidi hatukai pamoja muda wote. Tumeshaenda hosptal kapima kaambiwa ni hali tu ya kawaida japo kuna dawa alipewa zikasaidia kiasi lkn kwa sasa tena hali sio nzuri. Ni first pregnancy so ananipa hofu sana, kwa wazoefu mashemeji, kina dada na kina mama humu hii ni hali ya kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom