Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

 
Hizo sizipendi asee
Heri kujipimia mwenyewe

Kujipimia kuzuri ila fimbo ikiwa ndefu sana inaweza kugusa kwenye mlango wa kizazi.

IMG_20200107_184930.jpg
 
Kuna mmoja hapa yeye shida yake ni chai tu, hanywi kabisa wala hajaribu.

Juzi kanituma nikamtafutie maembe mabichi ila hali yeye, nakula mimi na yeye anaridhika jinsi yanavyofanya kwayuuu kwayuuu pale ninapotafuna.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hapa tutajua I'd za like[emoji41][emoji41][emoji41]

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom