Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua huwa nikiangalia muandiko wa mtu naweza kabisa kuipata taswira ya muonekano.

Mara zote sijawahi kukosea.

Nilisitisha kutazama ya kwako Kuna wakati niliamini Ni mwanaume mpaka wakati flani Pascal Mayalla alipoanza kukuita ita chemba ndo nikawaza vingine.

Sio kwa ubaya lakini.

Anyway turudi kwenye mada nimefungukia hapa maana PM mnazifunga siku hizi. Sasa wewe utaanza trimester lini? Vipi ushapata frame?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Sasa ndo panaponichanganya sijui kwa sababu sijawahi kufanya.
Anyway nipe uzoefu nijifunze kabla sijaenda kwa cute eyes kumpa ushauri wa mawili matatu, jamaa alijuaje kwamba ndo imeingia hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanganya ID,sio mimi

Sijui chochote kuhusu hiyo ID ya Pascal Mayalla ....sijawahi kujihusisha in any way na hiyo ID so ni ngumu yeye kuniita

Ni nani huyo Pascal Mayalla hadi akuaminishe jinsia ya mtu?
Achana na Hilo Ni kupoteza muda kutafuta hizo comment.
Kuna ile Hali tu mtu unajikuta unakuwa interested kufatilia kila comment ya mtu flani kokote kule aliko. Ndo imenikuta hiyo Hali.
Bado tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Hilo Ni kupoteza muda kutafuta hizo comment.
Kuna ile Hali tu mtu unajikuta unakuwa interested kufatilia kila comment ya mtu flani kokote kule aliko. Ndo imenikuta hiyo Hali.
Bado tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo comments hazipo za mimi na hiyo ID

Utakuwa huna kazi kama unapata muda wa kufatilia kila comment ya mtu...pole sana
 
Ngoja na mimi huyu mamyloo wangu nimfetue kachanga kamoja nimwangalie na yeye atakuwa na vimbwanga vipi!?

naskiaga wanawake mara mnanuna tu, mnapenda kula kula ovyo[emoji86], mnadeka deka, mnalala lala ovyo[emoji86] na kadha wa kadha...ntaleta mrejesho ikifika mwez wa 11

Sent using Samsung s10
 
Sanaa yan mimi natafuta second born mwaka wa pili huu hamna kitu nasubili miujiza ya bwana
Naomba nipokee hyo quotation ya kukupatia mtoto... Ziko sperm zimekaa zinasubiri kunasa kwa anaetaka

Sent using Samsung s10
 

[emoji23][emoji23][emoji23]anajuta huko alipo leo
 
Aàaaaagh miezi ya mwanzo ni shidaaa mimi ni mpz wa wa ugali dagaa ukishaona sili dagaa ujue nimenasa
 
0

Mkuu Lyauke Kitundu, heshima ni kitu cha bure, mimi ni verified member, baba na babu over 50s, mwenye watoto na wajukuu, sijawahi kuita vibinti chemba!. Tuheshimiane! .
P
Basi baba inatosha mkuu dah

Najua Wewe Ni big brother from another mother heshima yako broo..

sikumaanisha hivyo ulivyomaanisha ndio maana nikasema sio kwa ubaya, Kuna thread moja hivi ya kitambo ulikuwa unamuulizia Binti mmoja ukatoa na namba akutafute. Sasa akili yangu ikawa imekariri wrongly jina la muhusika mpaka leo sijui kwa Nini hata. Nadhani Ni kwa sababu hii ID ya huyu hapa huwa inanihuisha..take it easy joanah

Ni hivi Sasa ndio nagundua nilichanganya majina kwenye hii thread


Samahani Tena mkuu Mayallah, ila Kuna namna umenisaidia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, ni kweli nilimtafuta huyo member ila sio binti huyo ni a mother of 5!.

Ila pia Samahani sana nilidhani umetunga uongo kama gia ya kuingilia kumbe wewe ni mkweli kabisa, very sorry for this mdogo wangu, heshima mbele.
P
 
Mimi yangu ilikuwa ni harufu ya Kitunguu saumu, yaani kila mtu niliyeongea nae alinuka mdomo [emoji23][emoji23]. Nilikuwa siongei na watu ili nisisikie midomo ikinuka. Kuna siku nilimwambia baba mtoto atoke nyumbani kisa ananuka mdomo, aligoma basi nikaondoka mimi saa 5 usiku 🤣🤣. Akanitafuta na kunipata usiku huo then tukarudi home 🤣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…