hali ni tete kwa wafugaji maana mtu anarundika mayai hawezi kuuza mwishowe anashindwq kulisha kuku wake.
soko la mayai liko congo,kuna mzungu iringa anaitwa hoffmann yeye anakusanya maelfu ya trey za mayai inatia fusoni huyoo congo,na inamlipa balaa,
wewe hata ukiacha kula, kama afya yao ni mgogoro itaendelea kuwa hivyo hivyo tu.wameshtukia hizo shahawa za kuku mnatuchanganyia na madawa ya ujanani
mambo gani nani anataka kula kumwona mtoto wa kiume ana miaka 5 amejaa maziwa kifuani loh
mi nina mwaka wa tano makurufu kuona hiyo kitu nyumbani na hata mama didy akila ale uko uko asipit nayo getini wala kuku wake..infact akileta kuku ntammaliza zipo za kienyeji 100 na fRee kuchinja mmoja kila baa da ya wiki sijui watatAfuta wapi sababu ...msiruhusu watoto kula binadamu tumebadilika kabisa
unaweka dawa za matumizi ya naniii kisa kuku amwage mayai mengi why???
Sijasema wewe napita tu
kila Serikali duniani huwa na jukumu kuu la kulinda wazalishaji wake wa ndani - na kama product inatoka nje ya nchi lazima ipitie kwenye mfumo unaohusika hii ni pamoja na kulipa kodi husika na kiwango kinajulikana cha mzigo unaoingia nchini.
Inavyoonekana haya mayai yanapitia njia za panya - sasa hili jukumu si la mfugaji ndugu yangu.
umefanya research kwamba wote wanaoungua cancer wanakula mayai ya kisasa? acha kupotosha umma weye!! kama huna cha kuongena ni vizuri ukakaa kimya ili watu wasijue kichwani umehifadhi nini.
tatizo ni mtaji ndg kama unao njoo tukuuzie ...
kuku mmoja kwa wiki?!!wameshtukia hizo shahawa za kuku mnatuchanganyia na madawa ya ujanani
mambo gani nani anataka kula kumwona mtoto wa kiume ana miaka 5 amejaa maziwa kifuani loh
mi nina mwaka wa tano makurufu kuona hiyo kitu nyumbani na hata mama didy akila ale uko uko asipit nayo getini wala kuku wake..infact akileta kuku ntammaliza zipo za kienyeji 100 na fRee kuchinja mmoja kila baa da ya wiki sijui watatAfuta wapi sababu ...msiruhusu watoto kula binadamu tumebadilika kabisa
unaweka dawa za matumizi ya naniii kisa kuku amwage mayai mengi why???
Sijasema wewe napita tu
kuku mmoja kwa wiki?!!
Hii nimeipenda sana inaonyesha watu wameamka kufanya kilimo na ufugaji, nimeona kwa wazazi wangu yaani kama kulima wamelima mpaka bidhaa zinaoza, alibadilisha ufugaji wake wakuu wa kienyeji kutumia njia za kisasa sasa.
Hivi kuna kuku kama utitirii ata hajui idadi yake wala akawauzee wapi mimi mwenyewe nililima viazi nimeuza kwa hasara maana sokoni bei ipo chini,mahindiii tumeuza 25000 na bado yamebakii ghalanii serikali imetekeleza vema kilimo kwanza ila sasa watafute masoko kilimo kiwe biashara sio kujikimu,watufungulie na mipaka.
Wakuu,
Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.
Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.
Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.
Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.
Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.
Hayo mayai ya kidhhungu huwa yana vunjanguvu za kiume kama hamfahamu mulezi dokta yaani toka alfajiri hadi usiku ni kazi moja tuu ya kuwatilea dawa hadi kuwa yai si tatito hilo jamani ni bora ya kiyenjeji ndo huwa na ubora wa nguvu za kiume
Wakuu,
Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.
Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.
Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.
Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.
Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.
mkuu kuna watu huongea bila hata kufanya utafiti hata kidogo - matatizo ya nguvu za kiume yanatokana na kula mayai ya kuku wa kisasa? this is very weak argument - hili ndilo taifa letu na hawa ndio wananchi tunaowategea ku argue points with some supporting justification.Mkuu mayai pekee hayahusiki na nguvu za kiume bali na life style nk