Log hawa wafugajikuku mmoja kwa wiki?!!
Mbona kitimoto soko lilishuka nowSidhani kama kuna ukweli wowote juu ya kuingizwa kwa mayai kutoka nje ya nchi, yawezekana hizi ni hisia tu.
Ukweli ni kwamba biashara ya mayai hasa kwa dsm ilianza kuyumba kipindi kile cha mwezi mtukufu baada ya mfungo kuisha biashara ikatengamaa ila kwa kuwa uzalishaji umeongezeka kupita mahitaji ndio maana soko limefurika...
Ushauri wangu watu wasikimbilie tu kufuga kuku kwa kuwa jirani yako nae anafuga, na kama ukiamua kuiga basi tafuta hata hotel au mlaji wa uhakika uingie nae mkataba, pia wafugaji wawe wamoja kusaka masoko. Pia kufuga mifugo mingine kama ngombe mbuzi, sungura n.k
Sambaza upendoMi situmii hizo vitu cauz ni cancer tupu..mi ni mwendo wa kienyeji..over
viroba ruksa siyo - maana vinajenga afya ya akili.Mi situmii hizo vitu cauz ni cancer tupu..mi ni mwendo wa kienyeji..over
Mbona kitimoto soko lilishuka now
Liko fantastic Wajipange tu
umeongea point hapo, hakuna mtu anayeweza kufanikiwa in isolation, vyama/chama kama kipo kimechukua hatua gani?Fuso - poleni mkuu. Chama cha wafuga kuku kipo/vipo. Sema kutafuta masoko haikawa priority. Kuna chama kimoja huku walivuta mikopo ya nguvu na tangu 2012 walikuwa na mikakati ya kulikabili soko la Comoro. Sijui wamefikia wapi ila wale walikuwa very serious... Members walikuwa wako na kuku 1000 or more.
Kuna wakati nilikuwa natafuta mayai. Yule mama alinijibu kwa maringo sanaa. Sasa nashangaa juzi juzi ananipigia simu huku amepanik na kwa unyenyekevu kunikumbushia kuhusu mayai. Nikamwambia mi hiyo biashara nilishaipotezea maana bei ya mayai ilikuwa sky rocketed at that time...
wewe hata ukiacha kula, kama afya yao ni mgogoro itaendelea kuwa hivyo hivyo tu.
Unajua sometimes kama hujui kitu bora ukae kimya. Kuna sababu kadha wa kadha kufanya ya bongo yawe bei juu. Anza na gharama za umeme, then fuatisha vitu vingine. Unatakiwa uwe na literacy kidogo ya kiuchumi kiabla hujaanza kubwabwaja tu. Unaifahamu walmart? Walmart wana sifa ya kuua masoko ya ndani duniani kwa kuuza bidhaa kutoka nchi nyingine ambazo zimezalishwa kwa bei ndogo zaidi. Sasa kama nchi haina policy ya kuwalinda wazalishaji wa ndani ni shida. South Africa ni nchi mojawapo ambayo wanawalinda wazalishaji wa ndani. Tanzania ni soko holela halina mwenyewe. Serikali inatakiwa iwalinde wazalishaji wa ndani sababu kunakuwa hamna fair competition. Mkulima au mfugaji wa Tanzania anajaribu kuuza kwa bei ghali sababu ya nature ya gharama za uzalishaji. Inawezekana kuzalisha mayai Kenya ni bei rahisi zaidi kuliko TZ. LAkini kama serikali ipo makini then mayai ya bei rahisi hayawezi kuingia. Tunahitaji tujitosheleze sisi wenyewe kwa faida za kiuchumi. Tunahitaji kwanza soko la ndani tuli capitalize. Then kukiwa na upungufu na ya kutoka nje yanaruhuhusiwa kidogo kufidia upungufu. Wewe kufurahia ya Tanznaia kukosa soko inaonyesha kwa kiasi gani ulivyo mbumbumbu halafu kutwa unalalamika Tanzania. Unatakiwa ujivunie ukiona bidhaa za ndani zinafanya vizuri na sio kutoa negative commnets utadhani unafikiri kwa makalio. Ila sio kosa lako. Shule ya vidudu TZ.. Primary TZ.. Sekondari TZ..Chuo kikuu TZ. Then ukapata kazi DAR. Hujawahi safiri kwenda mbali kupata exposure. Halafu unakuja hapa unaonge ongea tu.Hujataka tu kuelewa lakini amemaanisha hivi...
"... hii bei wabongo wanaisema ndogo na kuwasababishia hasara lakini kwa wenzao wa Kenya bei hiyohiyo inawaletea faida" ..
Wabongo bhana mnajifanya wajuaji sana ee
Unajua sometimes kama hujui kitu bora ukae kimya. Kuna sababu kadha wa kadha kufanya ya bongo yawe bei juu. Anza na gharama za umeme, then fuatisha vitu vingine. Unatakiwa uwe na literacy kidogo ya kiuchumi kiabla hujaanza kubwabwaja tu. Unaifahamu walmart? Walmart wana sifa ya kuua masoko ya ndani duniani kwa kuuza bidhaa kutoka nchi nyingine ambazo zimezalishwa kwa bei ndogo zaidi. Sasa kama nchi haina policy ya kuwalinda wazalishaji wa ndani ni shida. South Africa ni nchi mojawapo ambayo wanawalinda wazalishaji wa ndani. Tanzania ni soko holela halina mwenyewe. Serikali inatakiwa iwalinde wazalishaji wa ndani sababu kunakuwa hamna fair competition. Mkulima au mfugaji wa Tanzania anajaribu kuuza kwa bei ghali sababu ya nature ya gharama za uzalishaji. Inawezekana kuzalisha mayai Kenya ni bei rahisi zaidi kuliko TZ. LAkini kama serikali ipo makini then mayai ya bei rahisi hayawezi kuingia. Tunahitaji tujitosheleze sisi wenyewe kwa faida za kiuchumi. Tunahitaji kwanza soko la ndani tuli capitalize. Then kukiwa na upungufu na ya kutoka nje yanaruhuhusiwa kidogo kufidia upungufu. Wewe kufurahia ya Tanznaia kukosa soko inaonyesha kwa kiasi gani ulivyo mbumbumbu halafu kutwa unalalamika Tanzania. Unatakiwa ujivunie ukiona bidhaa za ndani zinafanya vizuri na sio kutoa negative commnets utadhani unafikiri kwa makalio. Ila sio kosa lako. Shule ya vidudu TZ.. Primary TZ.. Sekondari TZ..Chuo kikuu TZ. Then ukapata kazi DAR. Hujawahi safiri kwenda mbali kupata exposure. Halafu unakuja hapa unaonge ongea tu.
Mbona kitimoto soko lilishuka now
Liko fantastic
Wajipange tu
Hapo dodoma mayai viza yanauzwa ghali na yana soko kubwa kuliko mayai mazima.
Naomba kujua now bei ya chini kabisa ya mayai hapa dar... nijulisheni 0779420000