Mayai yamefurika Dar es salaam, Soko hakuna wafugaji ni Msiba

Mayai yamefurika Dar es salaam, Soko hakuna wafugaji ni Msiba

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Wakuu,

Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.

Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.

Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.

Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.

Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.
 
Hayo yanayotoka nje ya nchi quality yake ipo vipi ? Kama ni sawa au zaidi ya haya ya ndani. Inabidi wafugaji kuangalia ni mbinu gani wanatumia hao wa nchi za nje hadi kuweza kuuza hio bei ya hasara na bado kupata faida.

Unless otherwise ni wafugaji wa hapa nao kuungana ili kutafuta masoko mengine ili mayai yao na yenyewe yafurike Kenya Uganda, Sudan nakadhalika, in short shughuli zote za kibongo zimekuwa ngumu kutokana na kuigana na wote kufanya shughuli moja kwa wakati mmoja.

Inabidi sasa watu tuangalia soko na kuli-study kwa makini sana ili kubadilika na kuendana na soko na hapa, nguvu ya mmoja mmoja ni ngumu inabidi kuwe na ushirika.
 
Hii nimeipenda sana inaonyesha watu wameamka kufanya kilimo na ufugaji, nimeona kwa wazazi wangu yaani kama kulima wamelima mpaka bidhaa zinaoza, alibadilisha ufugaji wake wakuu wa kienyeji kutumia njia za kisasa sasa.

Hivi kuna kuku kama utitirii ata hajui idadi yake wala akawauzee wapi mimi mwenyewe nililima viazi nimeuza kwa hasara maana sokoni bei ipo chini,mahindiii tumeuza 25000 na bado yamebakii ghalanii serikali imetekeleza vema kilimo kwanza ila sasa watafute masoko kilimo kiwe biashara sio kujikimu,watufungulie na mipaka.
 
Hayo yanayotoka nje quality yake ipo vipi ? Kama ni sawa au zaidi ya haya ya ndani inabidi wafugaji kuangalia ni mbinu gani wanatumia hao wa nje hadi kuweza kuuza hio bei ya hasara na bado kupata faida unless otherwise ni wafugaji wa hapa nao kuungana ili kutafuta masoko mengine ili mayai yao na yenyewe yafurike Kenya Uganda; Sudan n.k. in short shughuli zote za kibongo zimekuwa ngumu kutokana na kuigana na wote kufanya shughuli moja kwa wakati mmoja inabidi sasa watu tuangalia soko na kuli-study kwa makini sana ili kubadilika na kuendana na soko na hapa nguvu ya mmoja mmoja ni ngumu inabidi kuwe na ushirika

"kuuza hio bei ya hasara na bado kupata faida"
 
kila Serikali duniani huwa na jukumu kuu la kulinda wazalishaji wake wa ndani - na kama product inatoka nje ya nchi lazima ipitie kwenye mfumo unaohusika hii ni pamoja na kulipa kodi husika na kiwango kinajulikana cha mzigo unaoingia nchini.

Inavyoonekana haya mayai yanapitia njia za panya - sasa hili jukumu si la mfugaji ndugu yangu.
 
kenya na vyakula vya kuku ni rahisi kuliko huku bongo ndo sababu kubwa wakuu! sasa hapa sijui imekaaje,ni kodi?kwa wanzetu vyakula vya kuku hamna kodi
 
Hali ni tete kwa wafugaji maana mtu anarundika mayai hawezi kuuza mwishowe anashindwq kulisha kuku wake.
 
Usiseme mayai sema mimba za kuku source of cancer! Bora wananchi wameanza kuacha kuyatumia.
 
Hali ni tete kwa wafugaji maana mtu anarundika mayai hawezi kuuza mwishowe anashindwq kulisha kuku wake.
ni kweli hali si nzuri, mfuko wa kilo 50 unauzwa Tshs 38,000 hadi 40,000. Sasa kama una kuku lets say 800 utahitaji mifuko 2 kila siku Tshs 76,000/- (maana kuku mmoja anakula approx 125gms per day)

Sasa kama mayai hayauziki je hao kuku utawalishaje? huo ndiyo msiba wenyewe ndugu zangu.
 
Ukiachilia mbali na uingizwaji kwa wingi wa mayai kutoka nchi za jirani hususani kutoka Malawi na kenya. Nina marafiki zangu wauza chipsi wanalalamika kuhusu kusumbuliwa sana na askari wajiji huyu jamaa yuko huwa anauza takribani trei hamsin kwa wiki.. Jamani Huku kukurupuka kutatuumiza wananchi . Matokeo yake ndio uchumi unasimama na serikali kushindwa kukusanya mapato ya kutosha kwani mwananchi mnambana anashindwa kununua bizaa za kawaida ambazo kwa kiwango kikubwa ndio chanzo cha kodi kwa serikali.
 
"kuuza hio bei ya hasara na bado kupata faida"

Bei ya Hasara kwa Mfugaji wa Bongo ila wenyewe wa nje wanauza na bado wanapata faida (kutokana na jambo moja au jingine)

In short wakulima wa Kenya wana ushirika ambao unawasaidia kutafuta masoko na wananunua chakula kwa pamoja hence wanapunguza cost of production.., vilevile mkiwa na ushirika mnaweza mka-sign contracts za tender kwenye mahoteli makubwa makubwa ambayo yenyewe yanajali zaidi uhakika wa supply ability kuliko chochote kile
 
Unachosema ni sahihi kabisa mkuu. Bila ushirika wafugaji na wakulima tutalaliwa sana na mwishowe kushindwa kabiss.
 
Hayo mayai ya kidhhungu huwa yana vunjanguvu za kiume kama hamfahamu mulezi dokta yaani toka alfajiri hadi usiku ni kazi moja tuu ya kuwatilea dawa hadi kuwa yai si tatito hilo jamani ni bora ya kiyenjeji ndo huwa na ubora wa nguvu za kiume
 
Hayo mayai yatakuwa ni yale kutoka china wachina wametuona ss ni wajinga wa kulishwa mpaka mayai feki hii aibu kwa taifa kwa hayo mayai yamepitia wapi
 
Bei ya Hasara kwa Mfugaji wa Bongo ila wenyewe wa nje wanauza na bado wanapata faida (kutokana na jambo moja au jingine)

In short wakulima wa Kenya wana ushirika ambao unawasaidia kutafuta masoko na wananunua chakula kwa pamoja hence wanapunguza cost of production.., vilevile mkiwa na ushirika mnaweza mka-sign contracts za tender kwenye mahoteli makubwa makubwa ambayo yenyewe yanajali zaidi uhakika wa supply ability kuliko chochote kile
bado tunarudi kulekule, je ni jukumu la nani basi kutoa elimu hii kwa wafugaji hawa wadogo wadogo (Building capacity), ili sasa wazalishe kwa ubora unaotakiwa kimataifa? Je wafugaji hawa wana elimu ya kutosha ya kujua namna ya kutafuta masoko nje ya nchi?

Je ni sahihi tumtwishe mizigo yote mfugaji huyu yaani 1. Kuzalisha kwa ubora 2. Kutafuta masoko?
 
wakuu,

kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.

Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka kenya kwa njia za panya. Kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa tanzania hasa dsm hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.

Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.

Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.

Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.

wameshtukia hizo shahawa za kuku mnatuchanganyia na madawa ya ujanani

mambo gani nani anataka kula kumwona mtoto wa kiume ana miaka 5 amejaa maziwa kifuani loh

mi nina mwaka wa tano makurufu kuona hiyo kitu nyumbani na hata mama didy akila ale uko uko asipit nayo getini wala kuku wake..infact akileta kuku ntammaliza zipo za kienyeji 100 na fRee kuchinja mmoja kila baa da ya wiki sijui watatAfuta wapi sababu ...msiruhusu watoto kula binadamu tumebadilika kabisa
unaweka dawa za matumizi ya naniii kisa kuku amwage mayai mengi why???
Sijasema wewe napita tu
 
hii nimeipenda sana inaonyesha watu wameamka kufanya kilimo na ufugaji,
nimeona kwa wazazi wangu yaani kama kulima wamelima mpaka bidhaa zinaoza,alibadilisha ufugaji wake wakuu wa kienyeji kutumia njia za kisasa sasa hivi kuna kuku kama utitirii ata hajui idadi yake wala akawauzee wapi
mimi mwenyewe nililima viazi nimeuza kwa hasara maana sokoni bei ipo chini,mahindiii tumeuza 25000 na bado yamebakii ghalanii
serikali imetekeleza vema kilimo kwanza ila sasa watafute masoko kilimo kiwe biashara sio kujikimu,watufungulie na mipaka

Kwenye mahindi, serikali iruhusu watu wauze nje maana maghala yote ya serikali yamejaa.
 
Back
Top Bottom