Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Yaani mayele mkali kuliko Mahrez? Ngoja tumshawishi Mahrez aje yanga
 
Mimi yanga lakini Timu yetu wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na SANDAY MANARA Compyuter.

Sisi wengine woote ni mazuzu.....
Mchezaji hajapata tuzo mnatudanganya.

Mzee wa kutetema Mayele......

Esalie bier....
 
Eeee bhana eee ! mayele kamzidi hadi Mahrez ! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lkn ndiye kinara pale mjini CAF......palipowashinda makolo[emoji23][emoji23]
Palopowashinda makolo ni ligi ya mabingwa Afrika na walipo utopolo ni ligi ya shirikisho Afrika.

Hadi hapo unaona utofauti mkubwa kabisa.

Utopolo walipashindwa ligi ya mabingwa Afrika mapema sana ila makolo wakaendelea hadi zikabaki timu 8 bora Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…