Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

[emoji599]...BREAKING NEWS

Mshambuliaji wa klab ya Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwezi April tuzo kutoka katika jarida maarufu la michezo Africa #foot_africa.

[emoji1078] Fiston Mayele 29%
[emoji1062] Iliman Ndiaye 28%
[emoji1062] Vicent Abubakar 18%
[emoji1026] Riyad Mahrez 12%

#teamofcitizens

Kwakweli Ligue ya bongo ni hatare Kwa kubrand wachezaji
Yaani mayele mkali kuliko Mahrez? Ngoja tumshawishi Mahrez aje yanga
 
Mimi yanga lakini Timu yetu wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na SANDAY MANARA Compyuter.

Sisi wengine woote ni mazuzu.....
Mchezaji hajapata tuzo mnatudanganya.

Mzee wa kutetema Mayele......

Esalie bier....
 
[emoji599]...BREAKING NEWS

Mshambuliaji wa klab ya Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwezi April tuzo kutoka katika jarida maarufu la michezo Africa #foot_africa.

[emoji1078] Fiston Mayele 29%
[emoji1062] Iliman Ndiaye 28%
[emoji1062] Vicent Abubakar 18%
[emoji1026] Riyad Mahrez 12%

#teamofcitizens

Kwakweli Ligue ya bongo ni hatare Kwa kubrand wachezaji
Eeee bhana eee ! mayele kamzidi hadi Mahrez ! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lkn ndiye kinara pale mjini CAF......palipowashinda makolo[emoji23][emoji23]
Palopowashinda makolo ni ligi ya mabingwa Afrika na walipo utopolo ni ligi ya shirikisho Afrika.

Hadi hapo unaona utofauti mkubwa kabisa.

Utopolo walipashindwa ligi ya mabingwa Afrika mapema sana ila makolo wakaendelea hadi zikabaki timu 8 bora Afrika.
 
Back
Top Bottom